Kweli mbumbumbu hawana tiba.Wangekuwa na mgao mpaka sasa kelele zingekuwa nyingi mno
Mbumbumbu hamna chenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh!! Hapo sawa Si ndo huyo alisema mashabiki wa simba ni mambumbumbu
Wala hujakosea mkuu walishachukua chao, anayeweza kudai hapo ni TP Mazembe!Ngoja tusubiri wajuaji: ila ni kama nakumbuka vile waliwahi kupiga mshiko fulani hivi wakati samata anahamishiwa Genk kutoka mazembe
Sio kweliKwa mkataba upi? Simba issue yake iliishia kwa TP Mazembe
Mkipata huo mgawo semeni tuone.Sio kweli
Genk hawamjui simba, anajuana Genk ni TP Mazembe kwa hiyo kwenda kumdai Genk simba watakuwa wanapoteza muda! Wasubiri huruma ya TP Mazembe!Ishu sio kumharibia samata ishu mkataba unasemaje? Kwa nilivyosikia hapo mwanzoni kuwa kila samata anapouzwa simba ina % yake kutoka kwa timu inayopokea mzigo kwahiyo simba hawataidai AV wataenda kudai Genk
Wewe ndio hutaki kuelewa hicho kipengele kilielezewa toka mbwana anaenda mazembe kuwa mara zote atakazouzwa simba wana mgao, nikwambie tu mimi sio simba fanMkipata huo mgawo semeni tuone.
Vitu vidogo hamtaki kuelewa.. Shida iko wapi?
Mzee usibishe vitu usivyovijua wakati samata anauzwa Genk hao Genk walipewa taarifa kuwa kunakipengele hicho, kwa taarifa yako mazembe ndio hawana mgao hapoGenk hawamjui simba, anajuana Genk ni TP Mazembe kwa hiyo kwenda kumdai Genk simba watakuwa wanapoteza muda! Wasubiri huruma ya TP Mazembe!
Walipata kiasi gani?Kwenye Dili la kwenda Genk simba ilipata mgao , mbona hoja yako haikuwa na nguvu
Sent using Jamii Forums mobile app
Navyowajua watz wote wataachana na club wanazozishangilia huko ulaya na kuhamia aston vila.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikawaje Simba wakapewa 20% ya Mazembe kwenye ada ya Genk?Samata aligoma kufanya mazoezi simba baada ya kutotimizia ahadi ya kupewa gari, ndio akaenda tp mazembe, hiyo 10% haipo.
Uko sahihi kabisa. Sasa kwenye hili sakata mnyama atalamba 20% atakachopewa Mazembe?Tujuzane kidogo.
Kila kitu kinategemea na mikataba/kandarasi iliyoingiwa na club hizo kipindi cha uhamisho wa mchezaji.
Kuna kitu kinaitwa 'sale-on clause' ambacho huwekwa kwenye mikataba (sio lazima) wakati wa kuuziana wachezaji baina ta team na team. Hii huipa uwezo klabu kuwa na haki ya kupewa kiasi/asilimia kadhaa cha/za pesa kutokana na mauzo ya mchezaji waliemuuzia klabu nyingine pindi mchezaji huyo atakapouzwa hapo baadae kwenda klabu nyingine (third party)
Katika kipengele hicho lazima klabu ziafikiane conditions za ku trigger/activate clause hiyo ili kila mmoja kujiweka katika 'win-win situation'.
Kwamfano unaweza kukuta labda klabu zinakubaliana kwamba kama mchezaji akiuzwa kwa kiasi cha pesa kinachozidi labda TShs 10, 000/- basi klabu yake ya zamani watapewa asilimia 5 ya mauzo. Kama akiuzwa kwa Tshs 100, 000/- basi klabu ya zamani watapewa asilimia 10 ya mauzo. (Hiyo ni mifano tu ili tuelewane).
Conditions nyingine ni kama ranking ya league atakayouzwa. Mfano labda mchezaji akiuzwa kutoka Africa kwenda Ulaya rate ya sale on clause inaweza kuwa kubwa kuliko kama akiuzwa klabu ya Africa kwenda labda Uarabuni au hapa hapa Afrika.
Conditions zipo nyingi ikiwa ni pamoja na ku consider kuwa mchezaji anaweza asi realise potential yake hivyo thamani yake kwenye transfer market ikapungua, au akapata career ending injuries n.k. Hivyo klabu lazima pia zikubaliane kama ikitokea hivyo malipo yanaweza kutokuwepo n.k.
Kwa hilo la Mnyama kupata mgawo sijui kwasababu sijui chochote kuhusiana na kandarasi walizoingia na Mazembe wakati wanauziana hiyo mchezaji. Lakini kama mtu wa ndani amethibitisha kuwa kutakuwa na mgawo nadhani inaweza kuwa kweli na ndio maana nimeeleza kuhusu hiyo clause ili watu wajue kuwa inawezekana kweli Simba kupata mgawo endapo tu hizo clause zilikuwemo kwenye makubalino wakati wakimuuza Mazembe.Uko sahihi kabisa. Sasa kwenye hili sakata mnyama atalamba 20% atakachopewa Mazembe?