Simba wana mgao kwa Samatta kwenda Aston Villa?

Eti kila anapouzwa simba itapata pesa!....hakuna hio biashara..pesa simba alipata samata alipotoka mazembe na kwenda genk
 
Ni mchezaji gani mwingine duniani ana mkataba kama huo, kuwa timu iliyomuuza inapata pesa milele kila anapouzwa?
 
Ni mchezaji gani mwingine duniani ana mkataba kama huo, kuwa timu iliyomuuza inapata pesa milele kila anapouzwa?
Ha ha ha kuna taahira mmoja alidai simba itanufaika na Samatta hadi atakapostafu
 
Ha ha ha kuna taahira mmoja alidai simba itanufaika na Samatta hadi atakapostafu
Inasikitisha kuwa na kiongozi mwenye upeo mdogo kama HUYU, huku akifahamu kuwa adanganya mburura wenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…