Simba wana nuksi ya robo final

Simba wana nuksi ya robo final

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Amini amini nawaambieni yeye simba hata angekutana na ruvu shooting kwenye hatua ya robo final Club bingwa au caf federection
Simba wangetolewa tu

Any way tumekufa kiume [emoji1787][emoji28][emoji23]
 
Hata angekutana na YANGA Angechakazwa tu....hana mbinu za kuvuka robo.
 
Nikiwa kama mwanasimba og

Nasemaje .......tumechukia sana. Kuanzia sahizi Makombe yote ya mapinduzi cup ni yetu

Tutayachukua Kila mwaka.....huku mjini CAF tume surrender
 
Back
Top Bottom