Simba wana project nzuri, nitie ushauri kidogo

Simba wana project nzuri, nitie ushauri kidogo

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Nawapongeza Simba wana project nzuri, wameamini damu na wanacheza vyema

Coach Fadlu amekuwa coach Bora kabisa, amefanya rotation ya kikosi na kila mchezaji amempa nafasi

Mashabiki waache kuipa timu pressure ya ubingwa, naona level za kuwa bingwa Bado kidogo

Marekebisho
1. Shabalala akae bench
Coach akubali kuwa Shabalala amechoka, anaonekana kabisa hana upepo wa kupanda na kushuka nashauri aanze bwana mdogo Valentine Nouma

2. Che Malon ni beki dhaifu
Huyu jamaa sio mzuri kwenye kasi alipata pressure kutoka Kwa Aziz, Pacome, max na Mzize atafanya makosa na kufungwa ni laZima

3 Ngoma na Kagoma
Ngoma ni mzuri lakini umri umeenda bahati mbaya Debora hajawa Bora
Nadhani hApa Simba waingie sokoni walete kiungo

4 Ateba
Huyo baunsa hamna kitu, ni butu
Apewe nafasi Mukwala

5 wawatoe akina Kibu
Huyu ni kama chizi kiwanjani

Zimebaki mechi 9 na Yanga imejipata baada ya makosa ya management juu ya nidhamu ya wachezaji na bench la ufundi

Sasa fitness imerudi na ubingwa ni lazima
 
Ngoja tukufundishe Jinsi ya kuandika na kuwasilisha Hoja kwa Ufundi sio kwa Mihemuko hivyo kama Mtu asiye na Elimu wala Ujuzi na Mpira.
Anayetukana hovyo kama Kichaa.

TIMU BADO SANA KUFIKA WALAU NUSU YA UBORA WA ILE YA 2019.

WAACHANE NA.
1. Joshua Mutale.
2. Karabue Chamoe.
3 .Agustine Okejepha.
4. Dese Mukwala.
5. (Ngoma).
6 Manula.

MABORESHO YA SAJILI.
Beki wa kati NO 5.
Kiungo mkabaji No 6.
Kiungo mshambuliaji 10.
Mshambuliaji No 9.

Inanishangasa sana kwanini Fadru alikubali kumsajili Mchezaji Mmoja Tu.
Nadhani viongozi wanapenda sana Free agent imewacost sana msimu huu.

NIMEMALIZA
 
Tanzania kupokea matokeo ya droo au kufungwa ni ngumu sana miongoni mwa mashabiki wengi hususani klabu kongwe.
 
Back
Top Bottom