Simba wanabebwa waziwazi na TFF

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Namungo alikuwa CAF na walitolewa pamoja na simba ila wamecheza gemu 31 wakati simba gemu 27 hapa hakuna gemu wamecheza je walikuwa wapi.

Ligi imekuwa ya kipumbavu Karia ni takataka kabisa

Yanga juzi alicheza na kesho anacheza ila simba ndani ya siku 20 amecheza gemu moja.

Simba mnabebwa lazima muambiwe ukweli

Tanzania tuliaminishwa hakuna covd ila cha kushangaza ligi mpaka mwezi 7 itakuwa haijaisha

Najiuliza tu usajili unaanza lini na timu zitafanya lini pre season

TFF ni takataka kabisa
 
Mkuu kumbe na Namungo alifika Robo Fainali? Lakini pia kumbuka Namungo kucheza game nyingi za kimataifa akiwa nyumbani na sio ugenini katika hatua ya awali Kabla hajaingia Makundi

jengeni tu timu mtani mtapunguza malalamiko, maana imekuwa kila kitu ni Karia Tu, sijui Karia ndio amefanya Hadi leo hii saporng awe na goli 4,sijui Karia ndio kafanya Leo kisinda ana assist 4 Tu, sijui Karia ndio kafanya Metacha akawapa FINGERPRINT
 
Ila hili na team moja kucheza mechi chache zaidi ya 4 hili haliko sawa japo sisemi labda kuna kubebwa ila linaleta dhana kama hizi, ulaya wanacheza zaidi ya sisi lakini hukuti haya mambo hata kama ukiona mtu yuko nyuma basi labda mpinzani wake waliendelea katika hatua za vikombe kama FA lakini watalipa haraka sisi huku hiyo CAF yenyewe inachezwa baada ya miezi lakini mtu unakuta ana viporo 4 mpaka league inakaribia kuisha kwa hili sio sawa na sio kwa Simba tu kwa team yoyote hili sio sawa.
 
"Finger print" nakwambia wewe mleta mada sasa ole wako utuite tena mbumbumbu FC usije rusha ngumi huku.
 
Halafu huyu mwamuzi Ahmada Simba si alishawahi kufungiwa yule kwa maamuzi yake ya tatanishi ya kuibeba mikia fc msimu fulani hivi wa ligi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…