Simba wanaenda kukutana timu Bora ahliy tirpol ya Libya,

Simba wanaenda kukutana timu Bora ahliy tirpol ya Libya,

Rajabmbisha

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2024
Posts
316
Reaction score
530
Heshima kwenu Wana jf,turudi kwenye topic,Kwanza niwe muwazi Mimi ni mshabiki wa Simba sport club,kikwel this time tunaenda kukutana na timu nzuri ahliy tripol ya Libya,ukiangalia rank za caf tumewaacha mbali,lakini tukirudi kwenye msimu huu ahliy tripol wamefanya usajili mzuri,wamemsajili mshambuliaji wa timu ya taifa ya Angola mabululu ni fowadi wa kiwango Cha juu,point yangu ya msingi ni Simba wajipange vizuri,wasiidharau ile timu,nimeona mashabiki wengi wanaidharau ile timu,kila la heri Simba sport club
 
Back
Top Bottom