Simba wanaleta mapinduzi makubwa Tanzania

Well said Ila rekebisha hapo kwenye idadi ya magoli machache ya kufungwa maana kabla hajaja Robertinho Simba na Yanga zilikuwa na idadi sawa ya magoli ya kufungwa Ila sasa hv Yanga ndo ina idadi chache(10) Simba(12)
 
Mgunda hamna kocha pale acha ubishi zile game za champions league zile team za kwaida sana then kocha ambae hua hana plan B ni mgunda hata sub zake2 not technical
 
Unaongea ushuzi ww mgunda kamzid mbali sana robertnho_? Dah ama kwel sjuw kamzid nn
 
Kwahyo mapinduzi makubwa na kuendeshwa kisasa kwenu makolo ni Matola kupata exposure kubwa kwa makocha wa kigeni, kocha mzawa mgunda na mgosi? Au ulikuwa unamaanisha kombe la mapinduzi?
 
Timu imejaa wahuni jana bus limepona na Manzoki kaja uwanjani yote ili mradi mambo yao yaende.

Ila inawezekana yakawa mapinduzi kwa jinsi inayo onekana Manzoki kaja kama muangalizi wa maswala ya uchaguzi.
 
Utopolo watanuna 😄😂🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…