Simba wanaleta mapinduzi makubwa Tanzania

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wakuu,

Yapo mengi tunaweza kuyataja kama mapinduzi ya uendeshaji timu kisasa yaliyoanzishwa na Simba. Leo ningependa kutaja eneo moja ambalo miaka michache ijayo tutaelewa hii project.

Simba imeamua kuwekeza kwa makocha wazawa! Seleman Matola amecheza muda mrefu Simba na sasa ni kocha wa muda mrefu pia Simba! Matola amefanya kazi na makocha wengi wa kigeni na kupata exposure kubwa yumkini kuliko kocha yeyote mzawa nchi hii.

Msishangae hata kelele za mashabiki hazimuondoi Matola ni sababu Simba ime invest sana kwake na haipo tayari hayo matunda wakale wengine. Kwenye inner cycle ya Simba wanasema inaweza kufukuzwa hata timu nzima ila sio Matola.

Matola amepelekwa shule apate leseni ya juu ya ukocha na ukiongeza na exposure aliyokwishapata atakuwa moto sana.

Legend mwingine ni mshambuliaji wa zamani Musa Hassan Mgosi! Huyu ametumika kwenye nafasi mbalimbali za ukocha na sasa amepelekwa USA kwa mafunzo zaidi.

Kuonesha Simba ipo serious wakamchukua Juma Mgunda kocha mwenye experience kubwa lakini aliyekosa exposure hasa kwenye management ya Technical team na benchi pana kama la Simba linahitaji uzoefu kuli manage.

Kwa ubora wa Mgunda muda atakaokaa na huyu kocha mpya atavuna mengi na baadae kwa kusaidiana na Matola tusishangae wakafanya makubwa! Mgunda alipata exposure ndogo Taifa Stars sababu programme zao ni fupi na hawana Technical Team kubwa kama ya Simba.

Hili tuweke unazi pembeni Simba wanapika watu watakaokuja kusaidia sana Taifa na hata baadae kufundisha soka nje ya mipaka yetu.

TFF wasingehangaika kutafuta kocha nje, wampe timu Mgunda na wasaidizi Matola na Minziro kwa uzoefu wao na wachezaji wetu tutapata matokeo walau mazuri kwa kuanzia.

Hongereni sana Simba Sports Club. Haya Uto nyuzi zingine za kizalendo tuungane bana [emoji1787]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Said Maulid, Fred Mbuna, Mohammed Husein, Shadrach Nsagigwa wapo pale Yanga ni makocha if you don't know now you know
 
Ingekuwa ina imani na makocha wazawa, wasinge mtosa Mgunda ambaye ndiye kaifanya Simba kuingia hatua ya makindi klabu bingwa pasipo kupoteza mechi. Kashinda mechi nne, kaifanya Simba ndio iwe kinara wa upachikaji wa magoli kwenye NBC na ndiyo timu iliyoruhusu magoli machache ya kufungwa. Timu inayopigania ubingwa point sita nyuma ya Yanga. Ni kipi kilichomfanya Mgunda ashushwe cheo kama sio Utanzania wake?

Hao wakina Matola wameamua kujiongeza kwa akili zao wenyewe sawa sawa na mtu aliyeajiriwa huku akiomba nafasi ya kujiendeleza kielemu.
 
Wakuu,

Yapo mengi tunaweza kuyataja kama mapinduzi ya uendeshaji timu kisasa yaliyoanzishwa na Simba. Leo ningependa kutaja eneo moja ambalo miaka michache ijayo tutaelewa hii project.

Simba imeamua kuwekeza kwa makocha wazawa! Seleman Matola amecheza muda mrefu Simba na sasa ni kocha wa muda mrefu pia Simba! Matola amefanya kazi na makocha wengi wa kigeni na kupata exposure kubwa yumkini kuliko kocha yeyote mzawa nchi hii.

Msishangae hata kelele za mashabiki hazimuondoi Matola ni sababu Simba ime invest sana kwake na haipo tayari hayo matunda wakale wengine. Kwenye inner cycle ya Simba wanasema inaweza kufukuzwa hata timu nzima ila sio Matola.

Matola amepelekwa shule apate leseni ya juu ya ukocha na ukiongeza na exposure aliyokwishapata atakuwa moto sana.

Legend mwingine ni mshambuliaji wa zamani Musa Hassan Mgosi! Huyu ametumika kwenye nafasi mbalimbali za ukocha na sasa amepelekwa USA kwa mafunzo zaidi.

Kuonesha Simba ipo serious wakamchukua Juma Mgunda kocha mwenye experience kubwa lakini aliyekosa exposure hasa kwenye management ya Technical team na benchi pana kama la Simba linahitaji uzoefu kuli manage.

Kwa ubora wa Mgunda muda atakaokaa na huyu kocha mpya atavuna mengi na baadae kwa kusaidiana na Matola tusishangae wakafanya makubwa! Mgunda alipata exposure ndogo Taifa Stars sababu programme zao ni fupi na hawana Technical Team kubwa kama ya Simba.

Hili tuweke unazi pembeni Simba wanapika watu watakaokuja kusaidia sana Taifa na hata baadae kufundisha soka nje ya mipaka yetu.

TFF wasingehangaika kutafuta kocha nje, wampe timu Mgunda na wasaidizi Matola na Minziro kwa uzoefu wao na wachezaji wetu tutapata matokeo walau mazuri kwa kuanzia.

Hongereni sana Simba Sports Club. Haya Uto nyuzi zingine za kizalendo tuungane bana [emoji1787]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Tuliza akili....propaganda za uchaguzi hazisaaidii KATIBA MBOVU ya Simba...

Timu ya muhindi hii....laana ya mzee Akilimali wacha ifanyekazi....

Eti project...!!
 
Viongozi wa Sasa wa Simba ndio wamedhihirisha ni ma Mbumbumbu wa kutupwa na ki uhalisia imekatisha tamaa makocha wazawa.

Mgunda amemzidi mbalisana ki mbinu uyo kocha wenu mpya.
Mgunda Kwa Simba alichopata ni platform ya kuonyesha ujuzi aliokuanao na uo ujuzi haku upata akiwa Simba, tayari alishakuanao.

Kitu Cha kusikitisha Kwa muda wote na uwezo wote alionao Simba walishindwa kumpa mkataba.
Kocha wasasa aliyetoka Vipers hawezi kuipa Simba taji lolote kwakua mfumo wa Vipers na Simba ni tofauti.

Vipers player Wana umri wa wastani wa miaka 24, Wana Kaba Kwa nguvu na kushambulia wote Kwa Kasi na Wana Kaba kuanzia mbele.
Ni wachezaji wachache sana wa Simba wata mudu kucheza Kwa staili iyo kwakua ma faza wengi wa Simba hawana Kasi.

Staili ya Simba ni pasi fupi na ndefu na hawakimbii muda wote.
Kitu kinacho kwenda kutokea ni ugomvi baina ya mafaza na Kocha kwakua wachezaji wenye umri mkubwa wengi hawapendi kukimbia sana uwanjani na ni ngumu kuwafundisha aina iyo ya mpira uzeeni.
Aina iyo ya mpira ya kocha mpya inataka mazoezi ya kukimbia Kwa muda mwingi mchezoni na kukaba Kwa maguvu labda Kwa Kibu na onyango ita wafaa.

Simba hii ya Sasa wakicheza Kwa Kasi ikifika dk ya 70 wanatepeta kabisa.
Simba walitakiwa wa waamini wazawa kwakua walisha onyesha mafanikio kama ilivyokua Kwa Kibadeni 1993.

Simba walisha shinda mechi zote za awali za klabu bingwa na hawajapoteza NBC Sasa shida ilikua Nini?
Mbumbumbu mmefeli na Kwa Kocha uyu na timu yenu ilivyo tunaenda kuwatandika mwezi wa 4.
 
Ukocha sio kama uchezaji, kama ume invest kwenye makocha kama unavyo invest kwenye academy za wachezaji ili waje kuichezea timu yako baadae, kuna uwezekano mkubwa huo mpango wa kuinvest kwa makocha uka backfire..

Naandika hivyo kwasababu, hakuna timu nyingine yoyote hapa duniani iliyoweza kufanya huo mchezo zaidi ya Barcelona, makocha kama Xavi wa Barcelona, Guardiola wa Man City, na Arteta wa Arsenal wote walipitia academy ya La Masia, Barcelona..

Mleta mada unataka kusema hiyo timu nyingine ndio itakuwa Simba Sc? sidhani.

Matola amepatia umaarufu wake akiifundisha Lipuli ya Iringa, huko ndiko Simba walipomuona wakamchukua, lakini kusema Simba Sc ime invest pale ni sawa na kulazimisha Matola avumiliwe hata kama akionekana hana mchango wowote kwenye timu.
 
Mkuu unaweza kurudisha kumbukumbu nyuma, Nadhani Matola kaanzia simba B kabla ya kwenda huko lipuli
 
Matola hajaanzia Lipuli mkuu.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Wana kazi gani pale? Technical team ya Yanga inafahamika bana na Yanga wame invest nini kwa hao?

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kwahio wapo pale bila kazi? wanalipwa mishahara bila kazi yoyote si ndio? by the way hiki kitu sio kipya Mtibwa wamekua wakifanya hivi miaka mingi, Azam FC yupo Kali ongala na Agrey Morris , Coastal alikuwepo Mgunda what so special kwa Simba?
 
Mkuu unaweza kurudisha kumbukumbu nyuma, Nadhani Matola kaanzia simba B kabla ya kwenda huko lipuli
Nakumbuka, na aliondoka Simba B akiwa wa kawaida tu, hakuna aliyekuwa akimtilia maanani.

Lipuli ndio ilimtoa Matola, aliitengeneza vizuri sana ile timu, ikawa ikisumbua mpaka vigogo, ndipo Simba Sc wakamtaka, matokeo yake baada ya kuondoka Lipuli ikashuka daraja kabisa.
 
Wakuu,

Yapo mengi tunaweza kuyataja kama mapinduzi ya uendeshaji timu kisasa yaliyoanzishwa na Simba. Leo ningependa kutaja eneo moja ambalo miaka michache ijayo tutaelewa hii project.

Simba imeamua kuwekeza kwa makocha wazawa! Seleman Matola amecheza muda mrefu Simba na sasa ni kocha wa muda mrefu pia Simba! Matola amefanya kazi na makocha wengi wa kigeni na kupata exposure kubwa yumkini kuliko kocha yeyote mzawa nchi hii.

Msishangae hata kelele za mashabiki hazimuondoi Matola ni sababu Simba ime invest sana kwake na haipo tayari hayo matunda wakale wengine. Kwenye inner cycle ya Simba wanasema inaweza kufukuzwa hata timu nzima ila sio Matola.

Matola amepelekwa shule apate leseni ya juu ya ukocha na ukiongeza na exposure aliyokwishapata atakuwa moto sana.

Legend mwingine ni mshambuliaji wa zamani Musa Hassan Mgosi! Huyu ametumika kwenye nafasi mbalimbali za ukocha na sasa amepelekwa USA kwa mafunzo zaidi.

Kuonesha Simba ipo serious wakamchukua Juma Mgunda kocha mwenye experience kubwa lakini aliyekosa exposure hasa kwenye management ya Technical team na benchi pana kama la Simba linahitaji uzoefu kuli manage.

Kwa ubora wa Mgunda muda atakaokaa na huyu kocha mpya atavuna mengi na baadae kwa kusaidiana na Matola tusishangae wakafanya makubwa! Mgunda alipata exposure ndogo Taifa Stars sababu programme zao ni fupi na hawana Technical Team kubwa kama ya Simba.

Hili tuweke unazi pembeni Simba wanapika watu watakaokuja kusaidia sana Taifa na hata baadae kufundisha soka nje ya mipaka yetu.

TFF wasingehangaika kutafuta kocha nje, wampe timu Mgunda na wasaidizi Matola na Minziro kwa uzoefu wao na wachezaji wetu tutapata matokeo walau mazuri kwa kuanzia.

Hongereni sana Simba Sports Club. Haya Uto nyuzi zingine za kizalendo tuungane bana [emoji1787]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Nimesoma mwanzo mwisho! Sijaona mapinduzi ya aina yoyote ile, yaliyofanywa na hiyo timu yako.
 
Viongozi wa Sasa wa Simba ndio wamedhihirisha ni ma Mbumbumbu wa kutupwa na ki uhalisia imekatisha tamaa makocha wazawa.

Mgunda amemzidi mbalisana ki mbinu uyo kocha wenu mpya.
Mgunda Kwa Simba alichopata ni platform ya kuonyesha ujuzi aliokuanao na uo ujuzi haku upata akiwa Simba, tayari alishakuanao.

Kitu Cha kusikitisha Kwa muda wote na uwezo wote alionao Simba walishindwa kumpa mkataba.
Kocha wasasa aliyetoka Vipers hawezi kuipa Simba taji lolote kwakua mfumo wa Vipers na Simba ni tofauti.

Vipers player Wana umri wa wastani wa miaka 24, Wana Kaba Kwa nguvu na kushambulia wote Kwa Kasi na Wana Kaba kuanzia mbele.
Ni wachezaji wachache sana wa Simba wata mudu kucheza Kwa staili iyo kwakua ma faza wengi wa Simba hawana Kasi.

Staili ya Simba ni pasi fupi na ndefu na hawakimbii muda wote.
Kitu kinacho kwenda kutokea ni ugomvi baina ya mafaza na Kocha kwakua wachezaji wenye umri mkubwa wengi hawapendi kukimbia sana uwanjani na ni ngumu kuwafundisha aina iyo ya mpira uzeeni.
Aina iyo ya mpira ya kocha mpya inataka mazoezi ya kukimbia Kwa muda mwingi mchezoni na kukaba Kwa maguvu labda Kwa Kibu na onyango ita wafaa.

Simba hii ya Sasa wakicheza Kwa Kasi ikifika dk ya 70 wanatepeta kabisa.
Simba walitakiwa wa waamini wazawa kwakua walisha onyesha mafanikio kama ilivyokua Kwa Kibadeni 1993.

Simba walisha shinda mechi zote za awali za klabu bingwa na hawajapoteza NBC Sasa shida ilikua Nini?
Mbumbumbu mmefeli na Kwa Kocha uyu na timu yenu ilivyo tunaenda kuwatandika mwezi wa 4.
Hawezi kuipa taji Simba kisa katoka vipers ,hahaha jamani kama hujui kuchambua soka chambua hata mchele tu nayo ni kazi
 
Back
Top Bottom