ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Uzi huu mfupi ni mahsusi kwa ajili ya watani kuwapa hamasa ya kusuka timu,yaani jana zile goli zilivyokua zikitinga jamaa walifurahi na kurukaruka utasema kuna kitu wanaenda ku archieve
Ushauri kwenu huu ni wakati wa kutengeneza kikosi sio mnazubaa zubaa tu mnangoja mnasubiri yanga wanamtaka nani eti nyie ndio mkimbilie huko kupanda dau,changamkeni msije lia lia tena msimu mpya.
Mabingwa hawataki kelele mida hii wanahitaji kupumzika.