Simba Wanashangilia utadhani bingwa bado hajajulikana

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Uzi huu mfupi ni mahsusi kwa ajili ya watani kuwapa hamasa ya kusuka timu,yaani jana zile goli zilivyokua zikitinga jamaa walifurahi na kurukaruka utasema kuna kitu wanaenda ku archieve

Ushauri kwenu huu ni wakati wa kutengeneza kikosi sio mnazubaa zubaa tu mnangoja mnasubiri yanga wanamtaka nani eti nyie ndio mkimbilie huko kupanda dau,changamkeni msije lia lia tena msimu mpya.
Mabingwa hawataki kelele mida hii wanahitaji kupumzika.
 
Unaonesha hufaham kama mpira ni furaha! ndio mana mashabiki wa yanga wako baridiiii in ( J.K Voice)
Kiukweli simba ndio inachangamsha soka la bongo! washabiki wa simba tayari wamekuwa kama wa Ulaya, wanafahamu soka.
Simba wana passion ya mpira
 
Uzi huu mfupi ni mahsusi kwa ajili ya watani kuwapa hamasa ya kusuka timu,yaani jana zile goli zilivyokua zikitinga jamaa walifurahi na kurukaruka utasema kuna kitu wanaenda ku archieve

Ushauri kwenu huu ni wakati wa kutengeneza kikosi sio mnazubaa zubaa tu mnangoja mnasubiri yanga wanamtaka nani eti nyie ndio mkimbilie huko kupanda dau,changamkeni msije lia lia tena msimu mpya.
Mabingwa hawataki kelele mida hii wanahitaji kupumzika.
Mzee Juli.o aka Kubwa Jinga ameshatuambia Yanga bado hajawa bingwa, yaani yakitokea mashindano makubwa kama ya CAF ni Simba ndio wataiwakisha nchi na siyo Yanga!
 
Uzi huu mfupi ni mahsusi kwa ajili ya watani kuwapa hamasa ya kusuka timu,yaani jana zile goli zilivyokua zikitinga jamaa walifurahi na kurukaruka utasema kuna kitu wanaenda ku archieve

Ushauri kwenu huu ni wakati wa kutengeneza kikosi sio mnazubaa zubaa tu mnangoja mnasubiri yanga wanamtaka nani eti nyie ndio mkimbilie huko kupanda dau,changamkeni msije lia lia tena msimu mpya.
Mabingwa hawataki kelele mida hii wanahitaji kupumzika.
Ushindi ni ushindiii mzeee kikubwa tyr tupo CAF uko tena tumefanya ziende timu 4
 
Uzi huu mfupi ni mahsusi kwa ajili ya watani kuwapa hamasa ya kusuka timu,yaani jana zile goli zilivyokua zikitinga jamaa walifurahi na kurukaruka utasema kuna kitu wanaenda ku archieve

Ushauri kwenu huu ni wakati wa kutengeneza kikosi sio mnazubaa zubaa tu mnangoja mnasubiri yanga wanamtaka nani eti nyie ndio mkimbilie huko kupanda dau,changamkeni msije lia lia tena msimu mpya.
Mabingwa hawataki kelele mida hii wanahitaji kupumzika.
Akili za utopolo utazijua tu hata kwa kumtazama kisogo.
 
Unaumizwa na furah ya wanasimba?
Kwanini usejipige kifuani na kujiita mchawi
 
Uzi huu mfupi ni mahsusi kwa ajili ya watani kuwapa hamasa ya kusuka timu,yaani jana zile goli zilivyokua zikitinga jamaa walifurahi na kurukaruka utasema kuna kitu wanaenda ku archieve

Ushauri kwenu huu ni wakati wa kutengeneza kikosi sio mnazubaa zubaa tu mnangoja mnasubiri yanga wanamtaka nani eti nyie ndio mkimbilie huko kupanda dau,changamkeni msije lia lia tena msimu mpya.
Mabingwa hawataki kelele mida hii wanahitaji kupumzika.
.Furaha yao ni kuwa kwenye CAFCL wataanza round ya kwanza wakati huo Utopolo ikiwa tayari imeshatolewa kwenye hatua ya awali tena kwa kupigwa nje ndani kibabe
 
Attachments

  • FB_IMG_1655579378566.jpg
    FB_IMG_1655579378566.jpg
    31.8 KB · Views: 4
Back
Top Bottom