ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Naye Manara akasema ; wenye akili Yanga ni wawili tu . Yaani Kikwete na Sunday Manara. Naye Luc Eymael akathibitisha ukweli wa kauli hiyo ya Manara kwa kusema " Mashabiki wa Yanga ni kama Manyani " Wanabwekabweka tu .Ismail Aden Rage aliwaza mbali sana.
Hivyo wachukulie tu.
Unaonesha hufaham kama mpira ni furaha! ndio mana mashabiki wa yanga wako baridiiii in ( J.K Voice)Uzi huu mfupi ni mahsusi kwa ajili ya watani kuwapa hamasa ya kusuka timu,yaani jana zile goli zilivyokua zikitinga jamaa walifurahi na kurukaruka utasema kuna kitu wanaenda ku archieve
Ushauri kwenu huu ni wakati wa kutengeneza kikosi sio mnazubaa zubaa tu mnangoja mnasubiri yanga wanamtaka nani eti nyie ndio mkimbilie huko kupanda dau,changamkeni msije lia lia tena msimu mpya.
Mabingwa hawataki kelele mida hii wanahitaji kupumzika.
Mzee Juli.o aka Kubwa Jinga ameshatuambia Yanga bado hajawa bingwa, yaani yakitokea mashindano makubwa kama ya CAF ni Simba ndio wataiwakisha nchi na siyo Yanga!Uzi huu mfupi ni mahsusi kwa ajili ya watani kuwapa hamasa ya kusuka timu,yaani jana zile goli zilivyokua zikitinga jamaa walifurahi na kurukaruka utasema kuna kitu wanaenda ku archieve
Ushauri kwenu huu ni wakati wa kutengeneza kikosi sio mnazubaa zubaa tu mnangoja mnasubiri yanga wanamtaka nani eti nyie ndio mkimbilie huko kupanda dau,changamkeni msije lia lia tena msimu mpya.
Mabingwa hawataki kelele mida hii wanahitaji kupumzika.
Ushindi ni ushindiii mzeee kikubwa tyr tupo CAF uko tena tumefanya ziende timu 4Uzi huu mfupi ni mahsusi kwa ajili ya watani kuwapa hamasa ya kusuka timu,yaani jana zile goli zilivyokua zikitinga jamaa walifurahi na kurukaruka utasema kuna kitu wanaenda ku archieve
Ushauri kwenu huu ni wakati wa kutengeneza kikosi sio mnazubaa zubaa tu mnangoja mnasubiri yanga wanamtaka nani eti nyie ndio mkimbilie huko kupanda dau,changamkeni msije lia lia tena msimu mpya.
Mabingwa hawataki kelele mida hii wanahitaji kupumzika.
Yule kocha aliyewaita utopolo manyani hakukosea.Ismael Aden Rage: "mashabiki wa Simba ni mbumbumbu"
Akili za utopolo utazijua tu hata kwa kumtazama kisogo.Uzi huu mfupi ni mahsusi kwa ajili ya watani kuwapa hamasa ya kusuka timu,yaani jana zile goli zilivyokua zikitinga jamaa walifurahi na kurukaruka utasema kuna kitu wanaenda ku archieve
Ushauri kwenu huu ni wakati wa kutengeneza kikosi sio mnazubaa zubaa tu mnangoja mnasubiri yanga wanamtaka nani eti nyie ndio mkimbilie huko kupanda dau,changamkeni msije lia lia tena msimu mpya.
Mabingwa hawataki kelele mida hii wanahitaji kupumzika.
.Furaha yao ni kuwa kwenye CAFCL wataanza round ya kwanza wakati huo Utopolo ikiwa tayari imeshatolewa kwenye hatua ya awali tena kwa kupigwa nje ndani kibabeUzi huu mfupi ni mahsusi kwa ajili ya watani kuwapa hamasa ya kusuka timu,yaani jana zile goli zilivyokua zikitinga jamaa walifurahi na kurukaruka utasema kuna kitu wanaenda ku archieve
Ushauri kwenu huu ni wakati wa kutengeneza kikosi sio mnazubaa zubaa tu mnangoja mnasubiri yanga wanamtaka nani eti nyie ndio mkimbilie huko kupanda dau,changamkeni msije lia lia tena msimu mpya.
Mabingwa hawataki kelele mida hii wanahitaji kupumzika.
Luc aliona mbali kuwaita nyie nyani na msukule nao haukoseaIsmail Aden Rage aliwaza mbali sana.
Hivyo wachukulie tu.