kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Gogoro Simba la kumtimua mo linasubiri pale tu mo atakapoweka 20 bilioni kwenye account ya Simba. Nadhani hata mo analifahamu hilo vizuri ndo maana anachelea kuachia zigo.
Simba wanataka mo alete 20bn lakini wao hawataki kutoa za kwao za umiliki wa 49%.
Wanadhani mo hana uchungu na hela zake, wanataka Ikibidi mo aache kuwaongeza mishahara wafanyakazi wake ili awafurahishe Simba.
Simba wanaona ajabu kwelikweli Yanga wanavyochangishana ili kugharamia ulevi wao wa mpira, Simba wanataka mo awafurahishe kwa 100% huku wakijua kuwa mpira Tanzania haulipi, matumizi ya club Ni makubwa kuliko Mapato.
Mo usione aibu kuwaambia wachangie starehe yao ya mpira, viingiilio, zawadi na jez haviwezi kugharamia wachezaji, bench la ufundi na usafiri