Simba wanatakiwa kuwa na hofu sio sisi, kocha Al Ahly

Simba wanatakiwa kuwa na hofu sio sisi, kocha Al Ahly

Kocha na mchezaji wa zamani wa Al Ahly,Mokhtar Mokhtar amesema kwenye michuano mipya ya African Football League,timu yao wanahofia mechi dhidi ya Mamelodi Sundowns ambao wanaweza kukutana nao nusu fainali na sio hii dhidi ya Simba katika hatua ya robo fainali

Mokhtar amesema Simba ndio wanatakiwa kuwa na hofu na sio wao kwani wasiwasi wao upo kwa Mamelodi Sundowns.

“Simba ndio wanatakiwa kuogopa kukutana na Al Ahly,ila mimi ninahofia kukutana na Mamelodi Sundowns”

“Al Ahly wana uwezo wa kuifunga timu yoyoye ndani ya Afrika, lakini mahesabu yetu siku zote hubadilika tukiwa tunaenda kukutana na Sundowns” Amezungumza Mokhtar kupitia mtandao wa Kingfut wa Misri.

Atakayeshinda mechi ya robo fainali ya Simba SC na Al Ahly,kwenye hatua ya nusu fainali atakutana na mshindi wa robo fainali ya Mamelodi Sundowns na Petro de Luanda ya Angola
Na Al Ahyl akikutana na Mamelodi Sundowns ni lazima pachimbike
 
Ila Kuna watu Wana Mambo ya Ajabu sana.

Anyway penye wengi Kuna Mengi.

Hongera Simba imefanya BIASHARA YA MAAANA SANA.

1. Kuingiza BILIONI 5 super cup.
2. Kuiwakilisha NCHI kwenye mashindano mapya.
3. Ufunguzi kufanyika Tanzania
4. KUTANGAZA vivutio vya Utalii.
5. KUTANGAZA Tanzani nk.

MIMI NAISHIA HAPA NIKOZIDISHA NITAWAKWAZA MAPUMBUFU NA WAJINGA MAANA WENYE AKILI NI WAWILI TU.


SH3MZI ZENUUUUUUUUUUU
Saa mbovu
 
Ila Kuna watu Wana Mambo ya Ajabu sana.

Anyway penye wengi Kuna Mengi.

Hongera Simba imefanya BIASHARA YA MAAANA SANA.

1. Kuingiza BILIONI 5 super cup.
2. Kuiwakilisha NCHI kwenye mashindano mapya.
3. Ufunguzi kufanyika Tanzania
4. KUTANGAZA vivutio vya Utalii.
5. KUTANGAZA Tanzani nk.

MIMI NAISHIA HAPA NIKOZIDISHA NITAWAKWAZA MAPUMBUFU NA WAJINGA MAANA WENYE AKILI NI WAWILI TU.


SH3MZI ZENUUUUUUUUUUU
Sidhani kama vinahusuiana na mada tajwa mwanalunyasi
 
Upuuzi mtupu...
Yani vyura kama wali wa ngomani...
 
Back
Top Bottom