Simba wanavyozinyonga timu pinzani wanasahau malipo ni hapa hapa duniani.

Simba wanavyozinyonga timu pinzani wanasahau malipo ni hapa hapa duniani.

Little brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2020
Posts
4,282
Reaction score
6,303
wakati mnashangilia points za mchongo mnazopewa bila jasho kumbukeni timu mnazozifanyia uchafu hamjacheza nazo kwao.
Prison,Namungo,Coastal,mbeya kwanza,geita

Malipo ni hapa hapa hatutaki kusikia mambo ya bahasha wala GSM.
 
Subiri Makolo yaje kukushambulia kwa kutoa povu jingiiii
 
wakati mnashangilia points za mchongo mnazopewa bila jasho kumbukeni timu mnazozifanyia uchafu hamjacheza nazo kwao.
Prison,Namungo,Coastal,mbeya kwanza,geita

Malipo ni hapa hapa hatutaki kusikia mambo ya bahasha wala GSM.
Ongea kwa facts mzee
 
Unadhani Watakuelewa Acha Washangilie Ushindi Wao Mnono Wa Jana Kwa Timu Iliyopanda Daraja.
 
Nachojua timu mwenyeji sio mpangaji wa waamuzi. Simba ataweza kuwatumia waamuzi haohao kuwanyonga tena wenyeji. Mpira wa bongo pasua kichwa. Natajia kuhamia ligi mojawapo ya ulaya.
 
Screenshot_20220206_194731.jpg.jpg
 
mechi yenu na Namungo aliyeshika ni Mayele kwenye box lakini mkapewa penati nyinyi vyura f.c
 
Leo mnalalamikia V.A.R mmesahau mlivyopewa penati ya mchongo kwa mkapa?
 
Back
Top Bottom