Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Ongea kwa facts mzeewakati mnashangilia points za mchongo mnazopewa bila jasho kumbukeni timu mnazozifanyia uchafu hamjacheza nazo kwao.
Prison,Namungo,Coastal,mbeya kwanza,geita
Malipo ni hapa hapa hatutaki kusikia mambo ya bahasha wala GSM.
Fact zipo apo juuOngea kwa facts mzee
Zipo wapiFact zipo apo juu