Simba wanaweza kufuzu leo nusu final

Simba wanaweza kufuzu leo nusu final

Kama Simba imewahi kumtoa ZAMALECK BINGWA MTETEZI 2003 IWEJE HAWA WYDAD????

MBONA J IMEJAZA WATU WAJINGA WAJINGA HIVI?????????.

UJINGA NI MZIGO
Hapa nikuhakikisha kipindi cha kwanza Simba anatoka akiwa na BAO tatu.
 
hii ni wiki ya necta nani ata songa adv au ni yupi atanza kikitafuta kipaji chake
 
Simba wana nafasi kubwa leo ya kufuzu nusu final

Ninawaombea Mungu awasaidie kufuzu nusu final leo

Ila kinacho nipa stress na kicheko ni hiki hapa

-4 =-1-1? (-x-) =+[emoji3][emoji12][emoji13][emoji1787] wenye akili tu ndo watanielewa bye bye
sahau
 
Back
Top Bottom