Simba wangecheza na USM Alger taifa lingepata aibu ya mwaka

Kijana wa hovyo huyu ....kikubwa voices zimevuja .....zikimwambia Cha kuongea[emoji23]
 
Naona unatafuta faraja...
Umeshakubali kuwa ulikandwaa na unaenda kukandwa tena...
Wenzetu wapo fainali lkn.....sisi hata kombe la mapinduzi limetushnda
 
Hujakosea mkuu.....Simba tunatakiwa kumtimua mwamedi ......haiwezekan atuletee kina sawa kubwa

Tunahitaji players jamii ya mayele

Haiwezekani fei toto ananipigia boda wa Tim sim GSM 2022 basi hapokei sim yeye anakuja kumpigia 2023 hii dharau haivumiliki

Mwacheni mtoto akacheze ufaransa huko hamna pesa ya kumlipa
 
Kabisa mkuu......Simba bado ni timu mbovu sana

Lazima itafute wachezaji kinda sio jamii ya wazee kina onyango....

Pia watafute scout makini
GSM kuuza uza vigodoro na kushika vichenchi vya hapa na pale kajikuta kaota mapembe na simu za watu hapokei

Akumbuke tu kuwa yeye sio bilionea, yeye ni mjasiriamali na leseni yake ni hii hii ya 50,000

Na bado kuna tuhuma nyingi za ukwepaji kodi zinamkabili, hivyo kutopokea simu na kujiona tayari ame ball ni kiburi cha kijinga
 
Haiwezekani fei toto ananipigia boda wa Tim sim GSM 2022 basi hapokei sim yeye anakuja kumpigia 2023 hii dharau haivumiliki

Mwacheni mtoto akacheze ufaransa huko hamna pesa ya kumlipa
Kabisa mkuu..... haiwezekan Mangunguu anamleta manzoki kwenye kampeni....
 
Uko sahihi Mkuu..... tumuombe GSM aje aizamini Simba ......sio Kila siku mwamedi analia kuwa anaingia hasara
 
Taasisi mpaka wachezaji nako kuna mapungufu

Kwanza nataka nikukumbushe mkataba wa Morrison na Yanga jinsi ulivyokuwa na errors ambayo moja kwa moja uzembe unaenda kwa Club kwasababu wao ndio kuathirika

Lakini swala la wachezaji wetu hususani wazwa mbona kinafahamika most hawana elimu.

Ila kiru ambacho bado namlaumu hapo Feisali ni kwenda kusaini Mkataba peke yake bila mwanasheria au mtu wake

Na hiyo inatokana na kuweka imani kwa viongozi wake kupita kiasi na kuwasahau kuwa wale ni watu lolote wanaweza wakafanya.

Sasa mkuu hiyo two au three huoni kuelewa kuwa ni kipindi cha ukomonwa mkataba huoni kama inategemeana na melezo ya nyuma?

Na hayo maelezo ndio ambayo hayajui

Labda alitakiwa awe curious kuuliza hii three ina maanisha nini.
 
Sasa kweli hujui lugha unaenda ku sign mkataba bila hata mwanasheria Uchwara??? Angetafuta lawyer ampe hata laki 2 kazi ya kumfafanulia mkataba hapo dar angekosa?? Big big big mistake kama ni kweli
 
Sasa kweli hujui lugha unaenda ku sign mkataba bila hata mwanasheria Uchwara??? Angetafuta lawyer ampe hata laki 2 kazi ya kumfafanulia mkataba hapo dar angekosa?? Big big big mistake kama ni kweli
Kosa lae ni ku invest trust kwa watu wasio deserve
 
Una akili ndogo kama uchambuzi wako ulivyo mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…