cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] swali langu umeli elewa lakini???Hapana mkuu .....sisi tupo fainali ya kombe kubwa Africa....
Lkn sio la abiola cup
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] swali langu umeli elewa lakini???Hapana mkuu .....sisi tupo fainali ya kombe kubwa Africa....
Lkn sio la abiola cup
Kijana wa hovyo huyu ....kikubwa voices zimevuja .....zikimwambia Cha kuongea[emoji23]Wachezaji wetu ni wajinga sana yana, Feisal hana representative yoyote, unaenda kusign mkataba umeandika kwa lugha usiyoijua unaenda bila hata mwakilishi wako aangalie vipengele,yaani ni sawa na wewe upewe mkataba wa kichina u sign tu pale chini, kweli kitu sensitive kama hicho kinachoamua maisha yake alitia sign bila kuelewa! Feisal hajui tofauti ya two na three?????? Kweli jaman?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mikataba ya kilaghai FCmikataba Fc.....
Hujakosea mkuu.....Simba tunatakiwa kumtimua mwamedi ......haiwezekan atuletee kina sawa kubwa
Tunahitaji players jamii ya mayele
GSM kuuza uza vigodoro na kushika vichenchi vya hapa na pale kajikuta kaota mapembe na simu za watu hapokeiKabisa mkuu......Simba bado ni timu mbovu sana
Lazima itafute wachezaji kinda sio jamii ya wazee kina onyango....
Pia watafute scout makini
Kabisa mkuu..... haiwezekan Mangunguu anamleta manzoki kwenye kampeni....Haiwezekani fei toto ananipigia boda wa Tim sim GSM 2022 basi hapokei sim yeye anakuja kumpigia 2023 hii dharau haivumiliki
Mwacheni mtoto akacheze ufaransa huko hamna pesa ya kumlipa
Uko sahihi Mkuu..... tumuombe GSM aje aizamini Simba ......sio Kila siku mwamedi analia kuwa anaingia hasaraGSM kuuza uza vigodoro na kushika vichenchi vya hapa na pale kajikuta kaota mapembe na simu za watu hapokei
Akumbuke tu kuwa yeye sio bilionea, yeye ni mjasiriamali na leseni yake ni hii hii ya 50,000
Na bado kuna tuhuma nyingi za ukwepaji kodi zinamkabili, hivyo kutopokea simu na kujiona tayari ame ball ni kiburi cha kijinga
Taasisi mpaka wachezaji nako kuna mapungufuWachezaji wetu ni wajinga sana yana, Feisal hana representative yoyote, unaenda kusign mkataba umeandika kwa lugha usiyoijua unaenda bila hata mwakilishi wako aangalie vipengele,yaani ni sawa na wewe upewe mkataba wa kichina u sign tu pale chini, kweli kitu sensitive kama hicho kinachoamua maisha yake alitia sign bila kuelewa! Feisal hajui tofauti ya two na three?????? Kweli jaman?
Sasa kweli hujui lugha unaenda ku sign mkataba bila hata mwanasheria Uchwara??? Angetafuta lawyer ampe hata laki 2 kazi ya kumfafanulia mkataba hapo dar angekosa?? Big big big mistake kama ni kweliTaasisi mpaka wachezaji nako kuna mapungufu
Kwanza nataka nikukumbushe mkataba wa Morrison na Yanga jinsi ulivyokuwa na errors ambayo moja kwa moja uzembe unaenda kwa Club kwasababu wao ndio kuathirika
Lakini swala la wachezaji wetu hususani wazwa mbona kinafahamika most hawana elimu.
Ila kiru ambacho bado namlaumu hapo Feisali ni kwenda kusaini Mkataba peke yake bila mwanasheria au mtu wake
Na hiyo inatokana na kuweka imani kwa viongozi wake kupita kiasi na kuwasahau kuwa wale ni watu lolote wanaweza wakafanya.
Sasa mkuu hiyo two au three huoni kuelewa kuwa ni kipindi cha ukomonwa mkataba huoni kama inategemeana na melezo ya nyuma?
Na hayo maelezo ndio ambayo hayajui
Labda alitakiwa awe curious kuuliza hii three ina maanisha nini.
Ni wakati wao wacha sisi tuwachambueee maana huko nyuma na sie mlituchambua japo tulibeba makombe yote hahahaWenzetu wapo fainali lkn.....sisi hata kombe la mapinduzi limetushnda
Kosa lae ni ku invest trust kwa watu wasio deserveSasa kweli hujui lugha unaenda ku sign mkataba bila hata mwanasheria Uchwara??? Angetafuta lawyer ampe hata laki 2 kazi ya kumfafanulia mkataba hapo dar angekosa?? Big big big mistake kama ni kweli
Sawa.Makolo walichoma moto uwanja kisa kombe hili
Una akili ndogo kama uchambuzi wako ulivyo mdogo.Kwa uchambuzi wangu mdogo ...nmefuatilia uchezaji wa mechi za ndugu zangu ... makolo walipo kutana na ndugu zao ( wadhaifu) vipers, horoya, big bullets
Na kucheza chini ya kiwango .....pia Baada ya kucompare na mechi za Yanga zote kuanzia robo fainal ....nmesikitika sana na kulia kabisa .....taifa lingeaibika sana
Kwa mechi ya juzi .....simba wangekuwa si chini ya goli 6 on first half View attachment 2642399