SIMBA [emoji881] WAPATA HASARA MILIONI 638[emoji736]
Klabu ya Simba imeingia hasara ya zaidi ya Shilingi Million 600 kutokana na baadhi ya mashabiki wake kufanya fujo na kung'oa viti kwenye mechi ya Shirikisho...
Kutokana na Matukio hayo Simba imefungiwa kuingiza mashabiki mechi ya mwisho ya kundi dhidi ya Costantine.
Kitendo cha Simba kutoingiza madhabiki kunaikosesha simba mapato ya mlangoni zaidi ya Million 500
Pia Simba imetozwa Faini ya Dollar 40,000 (sh.Million 100) za kitanzania kwa kufanya fujo hizo
Pia Simba imetozwa sh. Million 38.4 kwaajili ya kukarabati viti vilivyoharibiwa na mashabiki waje
Million 500 + Million 100 + Million 38.4 = Million 638.4 hii ndio hasara waliyoiingiza Mashabiki wacgache wapumbavu
Ifike mahali tuache kucheka na hawa wapuuzi vilabu vyetu bado vinajitafuta sio matajiri hizi pesa ni hasara kubwa sana kwa klabu, hiyo million 600 ingefanya mambo mengi sana kwenye timu lakini inapotea kwaajili ya wapumbavu wasiozidi hata 50 waliolipa 3,000
View attachment 3203370