Simba wapata hasara milioni 638

Niambie lini Simba au Yanga iliwahi kutumia uwanja wa Mkapa wakaingiza mapato ya milioni 500 baada ya makato yote.

Unaweza kuwa na hoja ila unaiharibu hoja yako kwa kuchomekea data za uongo.
Kwa mchezo huu makolo wangeujaza uwanja wa mkapa Kwa fujo sana mkuu
 
Niambie lini Simba au Yanga iliwahi kutumia uwanja wa Mkapa wakaingiza mapato ya milioni 500 baada ya makato yote.

Unaweza kuwa na hoja ila unaiharibu hoja yako kwa kuchomekea data za uongo.
Sasa si ungemshauri angeweka walau milioni ngapi za madafu! Maana hasara kwa namna yoyote ile haikwepeki baada ya kupigwa faini na pia kufungiwa na CAF.
 
Ulaya huwa wanafungiaga jukwaa moja au mawili tu baaas. CAF nao wapo too primitive..
 
Wewe unayejua tuwekee wazi. Nipe mfano mmoja. Tumewahi kuwekewa mikeka ya mapato ya kwa Mkapa na haijawahi kufika hiyo pesa.
Derby imewah fikisha million 588
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…