Nyie mnafi**%a. Iacheni simba. Nanyie kabaneni pua muone kama hamjavunjiwa mayai.
Nijuavyo mimi timu ya taifa ya South Africa inashiriki AFCON. Sasa hawa Black Leopards kuna mambo mawili, either hawana hata mchezaji mmoja katika timu ya taifa au waliokuja Bongo hawapo timu ya taifa, na ndio waliokuja 'kuipima timu ya Uturuki'Na wale tuliocheza nao taifa na takawapa zawadi ya uturuki daraja la ngapi kule south? Nasikia la k
7
Karaoke za arabuni ndio zina magitaa na tumba? nlikua sijui/...acheni ushamba, hiyo ni burudani yao, open mic aka karaoke... !! At least hawa wanacheza na timu kubwa, U -23 inayocheza olympic, au timu ya taifa ya jeshi ( yenye 9 players wa national team yao) na sio kucheza na timu za daraja la 4 au ya wafanyakazi wa hoteli na wafukuza simblis kama wale wa serena lodge...lol
Mkuu waarabu wanavutiwa zaidi na waimbaji wa mirindimo ya pwani. Si unaona hata walivyolegeza macho?
Huyo anayepiga ngoma ni kama Bi Kidude kwenye "Ahmada Amelewa" kweli fani imeingiliwaWachezaji wa simba wakitumbuiza kwa muziki aina ya taarabu kwenye kumbi za burudani huko arabuni ili kujiongezea kipato.
Wachezaji wa simba wakitumbuiza kwa muziki aina ya taarabu kwenye kumbi za burudani huko arabuni ili kujiongezea kipato.
Haya majungu, Simba wana fedha bwana na ndiyo maana uwezi kusikia wamelala mzungu wa nne kama yanga. Hapo wapo kwenye burudani baada ya kazi.
Kanjibai bana badala ya kulipa madeni wanapeleka timu lindi au simiyu ya uturuki. Sisi tupo nairobi ya oman, muscat
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wewe uliyepositi ungekuwa karibu ningekupiga ngumi jiwe! Unaitania timu yangu! Ebo! Tangu lini mwanaume kama simba akakata kiuno kuimba taarabu?Wachezaji wa simba wakitumbuiza kwa muziki aina ya taarabu kwenye kumbi za burudani huko arabuni ili kujiongezea kipato.
Wewe uliyepositi ungekuwa karibu ningekupiga ngumi jiwe! Unaitania timu yangu! Ebo! Tangu lini mwanaume kama simba akakata kiuno kuimba taarabu?
Jameni acheni majungu! Labda walikuwa wanajiburudani tu kupunguza kumiss home.