Simba wapiga deiwaka Arabuni (picha)

Simba wapiga deiwaka Arabuni (picha)

simba kuna tatizo sio siri na sasa si nasikia aunt julio karudi pale,kazi itakua ni hii ya taarab tu

Nasikia ndo maana waliamua kwenda arabuni, walilenga soko la bidhaa zao.
 
Nyie mnafi**%a. Iacheni simba. Nanyie kabaneni pua muone kama hamjavunjiwa mayai.
 
Na wale tuliocheza nao taifa na takawapa zawadi ya uturuki daraja la ngapi kule south? Nasikia la k
7
Nijuavyo mimi timu ya taifa ya South Africa inashiriki AFCON. Sasa hawa Black Leopards kuna mambo mawili, either hawana hata mchezaji mmoja katika timu ya taifa au waliokuja Bongo hawapo timu ya taifa, na ndio waliokuja 'kuipima timu ya Uturuki'
 
...acheni ushamba, hiyo ni burudani yao, open mic aka karaoke... !! At least hawa wanacheza na timu kubwa, U -23 inayocheza olympic, au timu ya taifa ya jeshi ( yenye 9 players wa national team yao) na sio kucheza na timu za daraja la 4 au ya wafanyakazi wa hoteli na wafukuza simblis kama wale wa serena lodge...lol
Karaoke za arabuni ndio zina magitaa na tumba? nlikua sijui/
 
Kanjibai bana badala ya kulipa madeni wanapeleka timu lindi au simiyu ya uturuki. Sisi tupo nairobi ya oman, muscat

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wachezaji wa simba wakitumbuiza kwa muziki aina ya taarabu kwenye kumbi za burudani huko arabuni ili kujiongezea kipato.

gitaaa.jpg
Huyo anayepiga ngoma ni kama Bi Kidude kwenye "Ahmada Amelewa" kweli fani imeingiliwa
 
Wachezaji wa simba wakitumbuiza kwa muziki aina ya taarabu kwenye kumbi za burudani huko arabuni ili kujiongezea kipato.

gitaaa.jpg

Haya majungu, Simba wana fedha bwana na ndiyo maana uwezi kusikia wamelala mzungu wa nne kama yanga. Hapo wapo kwenye burudani baada ya kazi.
 
Wagonga kokoto au wachezaji hao,mbona wamekomaa ivo....!!
 
Haya majungu, Simba wana fedha bwana na ndiyo maana uwezi kusikia wamelala mzungu wa nne kama yanga. Hapo wapo kwenye burudani baada ya kazi.

simba wanahela kweli hadi wameamua kula hela ya rambirambi duu, heri ulale mzungu wa nne kuliko kumzurumu maarehemu,. Rip mafisango
 
Kanjibai bana badala ya kulipa madeni wanapeleka timu lindi au simiyu ya uturuki. Sisi tupo nairobi ya oman, muscat

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

mtanii huoni aibu kumzuruma hadi marehemu huoni kua hiyo ni laana. Rip mafisango
 
Wachezaji wa simba wakitumbuiza kwa muziki aina ya taarabu kwenye kumbi za burudani huko arabuni ili kujiongezea kipato.

gitaaa.jpg
Wewe uliyepositi ungekuwa karibu ningekupiga ngumi jiwe! Unaitania timu yangu! Ebo! Tangu lini mwanaume kama simba akakata kiuno kuimba taarabu?
 
Back
Top Bottom