Simba wapo sahihi kukataa nembo ya GSM

Kwa akili yako Nike na Adidas ni sawa na Vunja Bei na GSM?
 
Ebu tuangalie kipi cha manufaa gsm anaipa dhamani league yetu Kwa pesa alioitoa,yani vilabu 16 visipate mpunga Kisa simba huu ni ukichaa,pia hata league izi kubwa kuna transformation zilizotangulia mpaka kufika apa ,sasa mtu anafananisha league za nje Na za bongo kama siyo uzwazwa ni nini,Simba vaeni Jersey haraka kama hamtaki nendeni daraja la kwanza Au muanzishe league yenu
 
Kwa akili yako Nike na Adidas ni sawa na Vunja Bei na GSM?
Shida hapo ni Biashara ya Mwekezaji pia utajuaje GSM anania nzuri.Kesho akigeuka kuwa timu ya Simba imeweka nembo yake anataka fidia.
 
Mdhamini mwenza huwa nembo zake zinawekwa viwanjani na sio kwenye jezi. Mfano mwaka jana KCB ndio walikuwa wadhamini wenza na hakukuwa na timu iliyokuwa imevaa nembo yao.
 
Wewe Yanga kama muligomea nembo ya NBC ya MO mtaikubali.Usiangalie upande wako Mkuu pia mdhamini wa pili.Nembo yake hukaa kwenye mabango.Iweje walazimishe kuharibu biashara za Watu.
 
Mdhamini mwenza huwa nembo zake zinawekwa viwanjani na sio kwenye jezi. Mfano mwaka jana KCB ndio walikuwa wadhamini wenza na hakukuwa na timu iliyokuwa imevaa nembo yao.

Siyo kwamba ni msaafu kwamba lazima mdhamini mwenza asiwe kwenye Jersey cha msingi angalia udhamani wa pesa Kwa mwekezaji aloweka,dhamani ya league inapanda kutokana Na uwekezaji hii pesa ya gsm itasaidia sana league kupanda acheni visababu Visivyo Na mashiko wakati team za mikoa zina ukata sana Na nyie huwa hamtoi kitu Kwa team zenu
 
Kwa hiyo kama timu zinaukata ndio basi isainiwe mikataba isiyoeleweka na isiyo shirikisha pande zote muhimu. Nyie ndio wakina Chief Mangungo wa karne hii.
 
Una hoja nzuri na mzito kabisa, lakini tatizo ushabiki wetu wa simba na yanga unatuposha mpaka hatuoni hoja ila ubishi tu
 
Mimi ni Simba Ila naona ni sawa tu hata tukivaa jezi yenye nembo ya GSM
 
Simba walitoa tender ya kutengeneza jezi Vunja bei alishinda .Akatia bilioni 2.1 kutengeneza jezi na timu Ili auze kama Biashara.Huoni kuwa ni kumuhalibia Vunja bei Biashara yake.Hii kisheria imekaaje Wakuu Vunja bei atarudishaje hela yake?
GSM ni kampuni ambayo hai deal katika utengenezaji wa jezi tu,GSM ime involve katika clusters zifuatazo_:
1.Manufacturing
2.Logistics
3.Retail
4.Trading.

Lengo la mdhamini yeyote duniani ni kubrand biashara yake kupitia Logo.

GSM anaidhamini League ya NBC kama wadhamini wengine wanavyokua wakifanya katika udhamini.

Kuhusiana na Simba kuvaa nembo ya GSM sasa hapo ndo inatakiwa iangaliwe kanuni juu ya hilo.
 
Tunawaachia league yenu mpumue na nyie
 
TFF yetu ya ajabu Sana,

Ilivipiga marufuku clubs kuzungumzia huu mkataba Kwa madai kua hauwahusu wao club, bali TFF wenyewe. Vipi tena wawabebeshe clubs hizo nembo wavae?
 
Vodacom alipokuwa mdhamini mkuu KCB alikuwa mdhamini mwenza Ila hakukuwa na nembo ya KCB maana kanuni haziruhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…