nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,806
- 5,347
maji ya nyookoooMtavaa hamvai? Gsm kama maji tu usipokunywa utaoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maji ya nyookoooMtavaa hamvai? Gsm kama maji tu usipokunywa utaoga
Shida hapo ni Biashara ya Mwekezaji pia utajuaje GSM anania nzuri.Kesho akigeuka kuwa timu ya Simba imeweka nembo yake anataka fidia.Kwa akili yako Nike na Adidas ni sawa na Vunja Bei na GSM?
Mdhamini mwenza huwa nembo zake zinawekwa viwanjani na sio kwenye jezi. Mfano mwaka jana KCB ndio walikuwa wadhamini wenza na hakukuwa na timu iliyokuwa imevaa nembo yao.Ebu tuangalie kipi cha manufaa gsm anaipa dhamani league yetu Kwa pesa alioitoa,yani vilabu 16 visipate mpunga Kisa simba huu ni ukichaa,pia hata league izi kubwa kuna transformation zilizotangulia mpaka kufika apa ,sasa mtu anafananisha league za nje Na za bongo kama siyo uzwazwa ni nini,Simba vaeni Jersey haraka kama hamtaki nendeni daraja la kwanza Au muanzishe league yenu
Wewe Yanga kama muligomea nembo ya NBC ya MO mtaikubali.Usiangalie upande wako Mkuu pia mdhamini wa pili.Nembo yake hukaa kwenye mabango.Iweje walazimishe kuharibu biashara za Watu.Ebu tuangalie kipi cha manufaa gsm anaipa dhamani league yetu Kwa pesa alioitoa,yani vilabu 16 visipate mpunga Kisa simba huu ni ukichaa,pia hata league izi kubwa kuna transformation zilizotangulia mpaka kufika apa ,sasa mtu anafananisha league za nje Na za bongo kama siyo uzwazwa ni nini,Simba vaeni Jersey haraka kama hamtaki nendeni daraja la kwanza Au muanzishe league yenu
Mdhamini mwenza huwa nembo zake zinawekwa viwanjani na sio kwenye jezi. Mfano mwaka jana KCB ndio walikuwa wadhamini wenza na hakukuwa na timu iliyokuwa imevaa nembo yao.
Kwa hiyo kama timu zinaukata ndio basi isainiwe mikataba isiyoeleweka na isiyo shirikisha pande zote muhimu. Nyie ndio wakina Chief Mangungo wa karne hii.Siyo kwamba ni msaafu kwamba lazima mdhamini mwenza asiwe kwenye Jersey cha msingi angalia udhamani wa pesa Kwa mwekezaji aloweka,dhamani ya league inapanda kutokana Na uwekezaji hii pesa ya gsm itasaidia sana league kupanda acheni visababu Visivyo Na mashiko wakati team za mikoa zina ukata sana Na nyie huwa hamtoi kitu Kwa team zenu
Una hoja nzuri na mzito kabisa, lakini tatizo ushabiki wetu wa simba na yanga unatuposha mpaka hatuoni hoja ila ubishi tuVunja Bei ni kit supplier wa jezi za Simba ,GSM ni kit supplier wa Yanga . Halafu halafu nembo ya supplier wa Yanga ibandikwe kwenye Simba .
Yaani NIKE wabandikwe nembo ya Adidas na nembo zote mbili ziwe kwenye jezi moja ,kama siyo akili ya matope ni nini?
Sasa kama mkataba unahusu TFF na GSM na mtu au club yoyote haruhusiwi kuhoji kwanini wasimalizane wenyewe siyo kuingilia nembo za vilabuWalianza kuwa defensive bz walikuwa wana lao jambo.View attachment 2036249
Baba yako ameacha?anachoshauri hapo ni kuwa uache ushoga.
GSM ni kampuni ambayo hai deal katika utengenezaji wa jezi tu,GSM ime involve katika clusters zifuatazo_:Simba walitoa tender ya kutengeneza jezi Vunja bei alishinda .Akatia bilioni 2.1 kutengeneza jezi na timu Ili auze kama Biashara.Huoni kuwa ni kumuhalibia Vunja bei Biashara yake.Hii kisheria imekaaje Wakuu Vunja bei atarudishaje hela yake?
Kuku wa kizungu wa utopolo
Tunawaachia league yenu mpumue na nyieEbu tuangalie kipi cha manufaa gsm anaipa dhamani league yetu Kwa pesa alioitoa,yani vilabu 16 visipate mpunga Kisa simba huu ni ukichaa,pia hata league izi kubwa kuna transformation zilizotangulia mpaka kufika apa ,sasa mtu anafananisha league za nje Na za bongo kama siyo uzwazwa ni nini,Simba vaeni Jersey haraka kama hamtaki nendeni daraja la kwanza Au muanzishe league yenu
Yes ni sawa sawa kwa kazi wanazofanya kwenye vilabu isipokuwa Nike na Adidas wao wana factory zao wenyewe za kutengeneza vifaa vya michezo, huku vunja bei na GSM wao wanachukua tenda lkn pakufyatulia hivo vifaa wanajua wenyewe,, umeelewa wewe uto!Kwa akili yako Nike na Adidas ni sawa na Vunja Bei na GSM?
TFF yetu ya ajabu Sana,Vunja Bei ni kit supplier wa jezi za Simba, GSM ni kit supplier wa Yanga. Halafu halafu nembo ya supplier wa Yanga ibandikwe kwenye Simba .
Yaani NIKE wabandikwe nembo ya Adidas na nembo zote mbili ziwe kwenye jezi moja ,kama siyo akili ya matope ni nini?
Msimu uliopita KCB walikuwa mdhamini mwenza wa Voda ,hatujawahi kuona nembo ya KCB kwenye jezi maana kanuni zinamruhusu tu mdhamini mkuu.
GSM wakae kwa kutulia awe mdhamini mwenza na nembo yake hatuvai ,wavunje kanuni wao hata twiga alibadilishwa rangi ingawa kanuni haziruhusu halafu wao leo wanavunja kanuni? TFF ijibu barua ya Simba kwamba nembo ya mdhamini mwenza inavaliwa kwa misingi ili ya Sheria ? Jibu simple tu.
TFF inasaini mkataba na GSM halafu wanatoa tamko mtu yeyote au club isihoji mkataba ,sawa mkataba hamjashirikisha wadau basi na mambo ya nembo yanatuhusu nini?
Vodacom alipokuwa mdhamini mkuu KCB alikuwa mdhamini mwenza Ila hakukuwa na nembo ya KCB maana kanuni haziruhusuGSM ni kampuni ambayo hai deal katika utengenezaji wa jezi tu,GSM ime involve katika clusters zifuatazo_:
1.Manufacturing
2.Logistics
3.Retail
4.Trading.
Lengo la mdhamini yeyote duniani ni kubrand biashara yake kupitia Logo.
GSM anaidhamini League ya NBC kama wadhamini wengine wanavyokua wakifanya katika udhamini.
Kuhusiana na Simba kuvaa nembo ya GSM sasa hapo ndo inatakiwa iangaliwe kanuni juu ya hilo.