Simba wapo sahihi kukataa nembo ya GSM

TFF yetu ya ajabu Sana,

Ilivipiga marufuku clubs kuzungumzia huu mkataba Kwa madai kua hauwahusu wao club, bali TFF wenyewe. Vipi tena wawabebeshe clubs hizo nembo wavae?
in short ni kwamba wamelipwa na GSM ili GSM waweke matangazo yao kwenye jezi za vilabu,TFF ni kikundi la wahuni
 
Aliyetia ndimu hili sakata ni yule zeruzeru mdomo kunuka anayekalia tako moja, baada tu ya GSM kuingia mkataba wa udhamini na TFF aliibuka Haji Manara kuikejeli Simba kuwa sasa itakuwa mikononi mwa Yanga kupitia udhamini wa GSM. Si Yanga wala GSM walikuja hadharani kumkana huyu kichaa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
basi kwa hoja yako mwenye haki zaid ya kukaa kwenye jezi n azam kwa sababu anatoa mzigo mrefu kuliko hao gsm na nbc kwa pamoja
 
Sportpesa ni supplier wa jezi gani?
Kwani GSM Nini? Unajua GSM ni lidude likubwa. Huwezi kusema Hilo ni Tatizo. Kuna GSM coconut Kuna GSM logistics mbona huko husemi?
 
Simba walitoa tender ya kutengeneza jezi Vunja bei alishinda. Akatia bilioni 2.1 kutengeneza jezi na timu Ili auze kama Biashara.Huoni kuwa ni kumuhalibia Vunja bei Biashara yake. Hii kisheria imekaaje Wakuu Vunja bei atarudishaje hela yake?
GSm Group ni kampuni kubwa.
 
Wale wajinga kule TFF na bodi ya ligi aamechaa akili zao hata hawajui kufikiria, wao wakaona wakiwaambia vilabu hawatakiwi kuhoji chochote kwenye huo mkataba watakuwa wamemaliza, kunbe ndio wamewasha moto, yani uingie mkataba kuhusu klabu ya ligi halafu uikataze kuuliza kilichomo kwenye huo mkataba?
 
Kwani GSM Nini? Unajua GSM ni lidude likubwa. Huwezi kusema Hilo ni Tatizo. Kuna GSM coconut Kuna GSM logistics mbona huko husemi?
siyo supplier wa jezi au siyo supplier ? Hata ingakuwa GSM nini tunachongalia ni supplier wa jezi au siyo?
 
kwako mleta mada.
Kuna uhusiano gani Kati ya gsm na utopolo?
 
Yanga tarehe 11 watafungwa wametengeneza mchezo.Simba tuwe na kumbukumbu mechi ya kugomea muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…