Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
- Thread starter
- #61
in short ni kwamba wamelipwa na GSM ili GSM waweke matangazo yao kwenye jezi za vilabu,TFF ni kikundi la wahuniTFF yetu ya ajabu Sana,
Ilivipiga marufuku clubs kuzungumzia huu mkataba Kwa madai kua hauwahusu wao club, bali TFF wenyewe. Vipi tena wawabebeshe clubs hizo nembo wavae?