Simba wapo sahihi kukataa nembo ya GSM

Mkuu mbona nembo ya "Sport Pesa" ipo kwenye jezi zote mbili za Yanga na Simba

Au nembo ya "Fly Emirate" au "Etihad" ipo kwenye jezi nyingi za timu za ulaya

Acheni ramli chonganishi, cha muhimu klabu zipige pesa ili zijiendeshe vizuri. ova.
Hao wanadhamini Ligi au wanadhamini timu???
 
Simba waache utoto wa utopolo.
GSM ni kampuni Haina uhusiano wowote na utopolo zaidi ya kuwasaidia.
GSM sio utopolo Wala utopolo sio GSM.
Mkurugenzi wa uwekezaji na masoko wa gsm, pia ni makamo mwenyekiti wa usajili wa yanga lkn pia ana ujumbe ktk sehem ya yanga ,tuache ilo gsm ndio main sponsor wa vifaa na jez za yanga na ndio muuzaj na msambazaji afficial jezi na kila ktu cha yanga ,kama iyo aitoshi gsm wameshawahi kukiri wao ndio wanaohusika na usajil na ulipaji mishahawa kwa yanga, lkn pia wao ndio wahusika wakuu waliosimamia mchakato wa mabadilko ya club ya yanga,kwa hali iyo unasemaje yanga haina uhusiano na gsm , na pia apa hoja sio iyo tatzo ni kwamba hii sheria imebadilila lin na walikubaliana wapi na wadau au vilabu kwamba mdhamin mwenza akae ktk jezi za club, tff wenyewe wamekiri mkataba ni kati ya gsm na tff na sasa apo vilabu vinahusika vipi kulazimishwa wawe na nembo ikiwa ligi tayari ina mdhamin mkuu
 
Simba waache utoto wa utopolo.
GSM ni kampuni Haina uhusiano wowote na utopolo zaidi ya kuwasaidia.
GSM sio utopolo Wala utopolo sio GSM.
Wewe mbwiga nani anasajili Yanga,nani analipa mishahara wachezaji na benchi lote la ufundi hapo Yanga? Nani analipa posho na bonus hapo Yanga? Hersi alisikika akisema lazima mwaka huu Yanga wachukue ubingwa na wasipochukua waulizwe wao GSM. Hersi na CEO wa Yanga ndiyo walitia saini mkataba wa udhamini na TFF. Hapo uachora wapi mstari kati ya GSM na Yanga?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Yaani sisi tukatangaze Magodoro huko kwenye mechi za kimataifa na tulipwe sawa na wengine wa hapahapa.

Viongozi wa GSM ndio hao hao viongozi wa Yanga.

Wapambane na hali zao.
 

Hoja nyepesi sana hii,rudi tena darasani jisomee kwa makini kisha njoo hapa ujibu hoja za mtoa mada.
 
Wanamichezo ningependa kufahamu haya! Barua ya TFF iliyotoka siku kadhaa nyuma ilieleza mkataba ni baina ya TFF na GSM na vilabu havitakiwi kuhoji.

1. Udhamini wa GSM (Pesa) vilabu vimepokea lakini havifahamu kuhusu mkataba?

2. Vilabu havijapokea (Pesa/Gawio) na havifahamu kuhusu mkataba?

3. Baadhi vimepokea na baadhi havikupokea?

Mwenye ufahamu naomba jawabu. Shukrani 🙏
 
Kaka yanga inahusika vipi na GSM?
hizo NI taasisi mbili TOFAUTI.EBU ELIMIKENI
 
yanga Ana hisa asilimia ngapi pale GSM?
mbona HAINA AKILI NYIE?
TENA WAPUMBAVU WA MWISHO.
MNAJIAIBISHA KABISA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…