mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Simba waache utoto wa utopolo.
GSM ni kampuni Haina uhusiano wowote na utopolo zaidi ya kuwasaidia.
GSM sio utopolo Wala utopolo sio GSM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba waache utoto wa utopolo.
Hao wanadhamini Ligi au wanadhamini timu???Mkuu mbona nembo ya "Sport Pesa" ipo kwenye jezi zote mbili za Yanga na Simba
Au nembo ya "Fly Emirate" au "Etihad" ipo kwenye jezi nyingi za timu za ulaya
Acheni ramli chonganishi, cha muhimu klabu zipige pesa ili zijiendeshe vizuri. ova.
Mkurugenzi wa uwekezaji na masoko wa gsm, pia ni makamo mwenyekiti wa usajili wa yanga lkn pia ana ujumbe ktk sehem ya yanga ,tuache ilo gsm ndio main sponsor wa vifaa na jez za yanga na ndio muuzaj na msambazaji afficial jezi na kila ktu cha yanga ,kama iyo aitoshi gsm wameshawahi kukiri wao ndio wanaohusika na usajil na ulipaji mishahawa kwa yanga, lkn pia wao ndio wahusika wakuu waliosimamia mchakato wa mabadilko ya club ya yanga,kwa hali iyo unasemaje yanga haina uhusiano na gsm , na pia apa hoja sio iyo tatzo ni kwamba hii sheria imebadilila lin na walikubaliana wapi na wadau au vilabu kwamba mdhamin mwenza akae ktk jezi za club, tff wenyewe wamekiri mkataba ni kati ya gsm na tff na sasa apo vilabu vinahusika vipi kulazimishwa wawe na nembo ikiwa ligi tayari ina mdhamin mkuuSimba waache utoto wa utopolo.
GSM ni kampuni Haina uhusiano wowote na utopolo zaidi ya kuwasaidia.
GSM sio utopolo Wala utopolo sio GSM.
Wewe mbwiga nani anasajili Yanga,nani analipa mishahara wachezaji na benchi lote la ufundi hapo Yanga? Nani analipa posho na bonus hapo Yanga? Hersi alisikika akisema lazima mwaka huu Yanga wachukue ubingwa na wasipochukua waulizwe wao GSM. Hersi na CEO wa Yanga ndiyo walitia saini mkataba wa udhamini na TFF. Hapo uachora wapi mstari kati ya GSM na Yanga?Simba waache utoto wa utopolo.
GSM ni kampuni Haina uhusiano wowote na utopolo zaidi ya kuwasaidia.
GSM sio utopolo Wala utopolo sio GSM.
Ebu vaaeni nembo iyo acheni utoto
Kwa akili yako Nike na Adidas ni sawa na Vunja Bei na GSM?
Ebu tuangalie kipi cha manufaa gsm anaipa dhamani league yetu Kwa pesa alioitoa,yani vilabu 16 visipate mpunga Kisa simba huu ni ukichaa,pia hata league izi kubwa kuna transformation zilizotangulia mpaka kufika apa ,sasa mtu anafananisha league za nje Na za bongo kama siyo uzwazwa ni nini,Simba vaeni Jersey haraka kama hamtaki nendeni daraja la kwanza Au muanzishe league yenu
Simba waache utoto wa utopolo.
GSM ni kampuni Haina uhusiano wowote na utopolo zaidi ya kuwasaidia.
GSM sio utopolo Wala utopolo sio GSM.
Kaka yanga inahusika vipi na GSM?Mkurugenzi wa uwekezaji na masoko wa gsm, pia ni makamo mwenyekiti wa usajili wa yanga lkn pia ana ujumbe ktk sehem ya yanga ,tuache ilo gsm ndio main sponsor wa vifaa na jez za yanga na ndio muuzaj na msambazaji afficial jezi na kila ktu cha yanga ,kama iyo aitoshi gsm wameshawahi kukiri wao ndio wanaohusika na usajil na ulipaji mishahawa kwa yanga, lkn pia wao ndio wahusika wakuu waliosimamia mchakato wa mabadilko ya club ya yanga,kwa hali iyo unasemaje yanga haina uhusiano na gsm , na pia apa hoja sio iyo tatzo ni kwamba hii sheria imebadilila lin na walikubaliana wapi na wadau au vilabu kwamba mdhamin mwenza akae ktk jezi za club, tff wenyewe wamekiri mkataba ni kati ya gsm na tff na sasa apo vilabu vinahusika vipi kulazimishwa wawe na nembo ikiwa ligi tayari ina mdhamin mkuu
Kama mdau wa soka.naomba unieleweshe ,siku ya kusaini mkataba Kati ya TFF na GSM Senzo alienda kama nani ?
yanga Ana hisa asilimia ngapi pale GSM?Wewe mbwiga nani anasajili Yanga,nani analipa mishahara wachezaji na benchi lote la ufundi hapo Yanga? Nani analipa posho na bonus hapo Yanga? Hersi alisikika akisema lazima mwaka huu Yanga wachukue ubingwa na wasipochukua waulizwe wao GSM. Hersi na CEO wa Yanga ndiyo walitia saini mkataba wa udhamini na TFF. Hapo uachora wapi mstari kati ya GSM na Yanga?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Yanga Ana hisa asilimia ngapi pale GSM?.View attachment 2036703
Kuwasaidia tu ndio kitu gani.
.Yaani sisi tukatangaze Magodoro huko kwenye mechi za kimataifa na tulipwe sawa na wengine wa hapahapa.
Viongozi wa GSM ndio hao hao viongozi wa Yanga.
Wapambane na hali zao.