Simba wapokea fedha za Okwi walizokuwa wanadai

Simba wapokea fedha za Okwi walizokuwa wanadai

Klab ya simba imepokea mzigo wa dola laki tatu kutoka etoil sportive du sahel rasmi sasa kazi kwao uwanja bunju za samata 20% znasubiriwa uwanja huwooo yanga mtabaki na bwawa lenu la samaki source EFm
Dollars laki Tatu ukajenge uwanjani!!!! [emoji85] [emoji85] [emoji86] [emoji86] [emoji87] [emoji87]
 
Hatua nzuri kwa klabu.wazitumie kwa maendeleo na si vinginevyo.
 
Dollars laki Tatu ukajenge uwanjani!!!! [emoji85] [emoji85] [emoji86] [emoji86] [emoji87] [emoji87]
Unajua dollar laki tatu nishingapi shee wangu au unatikisa masikio mm nazungumzia pitch garama A za awali
 
Wale machotara wawili washaprleka info za fedha walizoikopesha timu.
So wataanzwa kulipwa wao.
 
...uwanja wa bunju watajidai wameusahau,watakuja kuukumbuka wakishamaliza kulipana hizo pesa.
Wale machotara wetu matapeli sana.
 
Wenye pesa zao wanajijua na saa hizi wanachekelea
 
Ukitaka kujua kati ya timu hizi hazishindwi kumiliki kiwanja au kitu chochote kizuri, ngoja mmoja aanze kuwa nacho uone yule mwingine kama atashindwa kumiliki.
 
timu zinapewa ruzuku na serikali lakin hakuna la maana wanalofanya
 
Hii habari inamuumiza sana Saleh Ally wa shigongo.
 
hapo ikichanganywa na lile gawiwo la Samatta basi kiwanja kinakuja soon
 
Ule uwanja wanaoukodi kwa ajili ya mazoezi umegharimu sh70M sasa kwanini wasijenge chao cha mazoezi kitakachowagharimu 200M wakaacha kukodi?
 
Back
Top Bottom