Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
SINGIDA Black Stars (zamani Ihefu), imeendelea kusuka kikosi cha msimu ujao ikielezwa imepora nyota wawili wa kigeni waliokuwa wakiwindwa na Simba, huku ikimalizana na makipa Metacha Mnata na Beno Kakolanya anayeweza akapelekwa kwa mkopo Namungo.
.
Taarifa zinasema Singida tayari imewasainisha mikataba nyota hao kutoka ASEC Mimosas ya Ivory Coast [emoji1081] beki Anthony Tra Bi Tra na kiungo Serge Pokou, waliohusishwa na Simba. Chanzo cha kuaminika kutoka Singida BS kimenithibitishia, nyota hao kila mmoja amesaini miaka miwili na tayari wamelipwa chao na kupewa ratiba ya kujiunga kambini kujiandaa na msimu mpya.
Daaah makolo wanaonewa Hadi na ihefu