Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Wachezaji wa kigeni mwisho idadi yao ni 12. Unaweza ukawaweka kwenye mpango wachezaji hata 30 wa kigeni, lakini ukasajili 12 tu.SINGIDA Black Stars (zamani Ihefu), imeendelea kusuka kikosi cha msimu ujao ikielezwa imepora nyota wawili wa kigeni waliokuwa wakiwindwa na Simba, ... Daaah makolo wanaonewa Hadi na ihefu