SINGIDA Black Stars (zamani Ihefu), imeendelea kusuka kikosi cha msimu ujao ikielezwa imepora nyota wawili wa kigeni waliokuwa wakiwindwa na Simba, ... Daaah makolo wanaonewa Hadi na ihefu
Bro embu fikiria kwann usije na chanzo cha hiyo habar ...kwann unaligeuza jukwaa kuwa sehemu ya umbea?
Hiv ukiambiwa unatumika utakataa?
Uchambuzi huu peleka Facebook utapata like nyingi bro