kambale mnene
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 271
- 197
Simba wapo wengi sana mitandaoni kuliko yanga,wakifanya siasa za mpira.
Je hii inasaidia nini?
Je hii inasaidia nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Takwimu zinasema mashabiki wa yanga hawana smart phones. Wana vitochiSimba wapo wengi sana mitandaoni kuliko yanga,wakifanya siasa za mpira.
Je hii inasaidia nini?
Watu hawajui kusoma waje humu kufanya nini?Simba wapo wengi sana mitandaoni kuliko yanga,wakifanya siasa za mpira.
Je hii inasaidia nini?
Pymzi ya moto tangu jana na wameamka nayo... watakeshaje!Simba wapo wengi sana mitandaoni kuliko yanga,wakifanya siasa za mpira.
Je hii inasaidia nini?
Na hii je 9:10.....Hii ina mana hawana shughuli za kufanya
Ila ndiyo wanaojaza viwanja kwenye mechi za kirafiki, ligi kuu na mashindano ya kimataifa.Hii ina mana hawana shughuli za kufanya
Watu hawajui kusoma waje humu kufanya nini?
Hata gsm mwenyewe anasifiwa ujinga kuwa hana akaunti tweeter, Elon musk mwenyewe ana tweet ije iwe huyu mjasiria Mali mnamwita tajiri wakati anatumia pesa za wizi
Umejuaje kuwa Tunakesha sana kama nawe pia Hukeshi kama Sisi? Unaweza kumjua kuwa fulani ni Mchawi kama nawe pia siyo Mchawi?Simba wapo wengi sana mitandaoni kuliko yanga,wakifanya siasa za mpira.
Je hii inasaidia nini?