Simba washaondoka pre-season Wenzao bado wapo madukani

kasanga70

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
222
Reaction score
515
Haya tena. Nawapongeza Yanga ingawa mambo ya uwanjani bado lkn naona msimu huu wamejitahidi kuwa serious na usajili.

Kinachonishangazaga ni maandalizi yao ya timu.

Hivi Sasa bado nadhani wapo madukani wanaendelea na sagulasagulaa ya wachezaji ligi ikianza lawama zinaanza.

Tufike mahali tukubali maandalizi mazuru na ya wakati huiadaa timu vzr sio mpira maneno Teena.
 
Team yote mpya!! TFF wekeni masharti kuimarisha team na ligi, kuhamisha au kuacha au kubadirisha kwenye usajili mwisho watano. Lasivyo kuna team zitakua kila siku mpya
 
GSM kama wangekuwa na uwezo wangetoa pesa wanunue kombe la ligi kuu toka TFF direct, na hizo pesa wasingetoa zote, wangewaambia TFF tunawapa nusu halafu nyingine tutawamalizia msimu ujao, baada ya hapo TFF wangezungushwa mpaka wakome wakachukue kombe lao kwa nguvu toka jangwani.
 
Na bado Simba anaendelea kununua mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…