Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Kila timu inayo mipango yake tofauti na unavyofikilia wewe, sio kila watachofanya simba basi na yanga wafanye,,,Haya tena. Nawapongeza Yanga ingawa mambo ya uwanjani bado lkn naona msimu huu wamejitahidi kuwa serious na usajili.
Kinachonishangazaga ni maandalizi yao ya timu.
Hivi Sasa bado nadhani wapo madukani wanaendelea na sagulasagulaa ya wachezaji ligi ikianza lawama zinaanza.
Tufike mahali tukubali maandalizi mazuru na ya wakati huiadaa timu vzr sio mpira maneno Teena.