Simba washaondoka pre-season Wenzao bado wapo madukani

Kila timu inayo mipango yake tofauti na unavyofikilia wewe, sio kila watachofanya simba basi na yanga wafanye,,,
 
lengo letu sio kufunga team, lengo letu ni makombe na tumechukua matatu. Ngao ya jamii, FA, na la Ligi. tuambie wewe uliyetufunga una tofauti gani na Ruvu shooting na prison
Sasa kama lengo lenu ni Ubingwa tu inakuwaje kuchelewa kwa Yanga SC kuingia Kambini kumekukwaza?
 
Yanga wabasubiri wachezaji wote wakamilike,wanaondoka trh 15 agosti

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama lengo lenu ni Ubingwa tu inakuwaje kuchelewa kwa Yanga SC kuingia Kambini kumekukwaza?
Hao ndio mikia mkuu cr,wamepanic maana wale waliokua wakiwadhihaki hawana pesa now wanaenda nao sawa,hawa tunaanza nao ngao ya jamii na wenyewe iko kitu wanakijua
 
Hao ndio mikia mkuu cr,wamepanic maana wale waliokua wakiwadhihaki hawana pesa now wanaenda nao sawa,hawa tunaanza nao ngao ya jamii na wenyewe iko kitu wanakijua
Una sifa zote za kuwa shabiki wa utopolo. Wachezaji karibu nusu wameachwa halafu una matumaini makubwa kwa timu ambayo hujaiona.Hakika utopolo ni utopolo.
 
Una sifa zote za kuwa shabiki wa utopolo. Wachezaji karibu nusu wameachwa halafu una matumaini makubwa kwa timu ambayo hujaiona.Hakika utopolo ni utopolo.
Utakua umekuja mjini wakati stand ya mkoa iko ubungo ndio maana huna unachojua kuhusu kurwa na doto wa k'koo,mikia uwa aifurukuti Yanga inapokua kwenye uchumi imara,hii zengwe la manara mjue mnaanza kupotea,yan iko hivyo kataa ukubali
 
Ni lini utopolo imewahi kuwa na uchumi imara?
 
Unaanzaje kuifunga timu inayocheza kung-fu uwanjani badala ya kucheza soka pale unapokutana nayo?
Yanga na Prison ni vigumu kufungwa na Simba.
Kwa aina ya mpira wao wa mikareti.
Yanga hawaishiwi malalamiko.
Hivi ligi ya Kagame Cup Express fc nao walinunua mechi ?
Yanga na Azam zote zimetolewa.
Hii unaonesha kiwango duni cha hizo timu.
Malalamiko yanapelekwa TFF
 
Kagame cup Simba wangekuwemo Azam na Yanga wangekaza,yani wenyewe kukaza ni mpaka wakutane na Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…