joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Naona Jumamosi tajiri atasema kiingilio ni MoXtra.Rais wa Heshima wa klabu ya Simba Mohamed Dewij ameshusha viingilio vya mzunguko toka sh.5000 Hadi 3000 Kwa tiketi. Mheshimiwa Mo amesema amelazimika kufanya hivyo Kwa kuheshimu nafasi ya mashabiki kama nguzo muhimu kwenye timu. Mwisho wa kunukuu.
Haya ni mapenzi Makubwa aliyoyaohyesha Rais Kwa mashabiki hivyo tumuunge mkono Kwa kwenda Kwa wingi uwanja wa Mkapa tarehe 25.11.2023.
View attachment 2822413