joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Naona Jumamosi tajiri atasema kiingilio ni MoXtra.Rais wa Heshima wa klabu ya Simba Mohamed Dewij ameshusha viingilio vya mzunguko toka sh.5000 Hadi 3000 Kwa tiketi. Mheshimiwa Mo amesema amelazimika kufanya hivyo Kwa kuheshimu nafasi ya mashabiki kama nguzo muhimu kwenye timu. Mwisho wa kunukuu.
Haya ni mapenzi Makubwa aliyoyaohyesha Rais Kwa mashabiki hivyo tumuunge mkono Kwa kwenda Kwa wingi uwanja wa Mkapa tarehe 25.11.2023.
View attachment 2822413
Kwann mkuu ? Maana we ni mmoja wa waandamizi wa simba sc humuBado hainifanyi nibadilishe msimamo wangu
Siendi
Kiingiilio elf 3 na Mo Xtra mojaNaona Jumamosi tajiri atasema kiingilio ni MoXtra.
Kabisa mkuu, mashabiki ni muhimu sana wakati huu.Sasa tushindwe wenyewe. Buku 1, 2,3 uko Kwa Mkapa.View attachment 2822415
Timu nyingi tu hufanya hivyo kufungwa kwenye derby halafu uko nyumbani inaonyesha hamko serious.Hii iliwahi kufanywa na Aston Villa walipokandwa 6.
Halafu kila mara wanapigwa tano tano.Kweli, Man U sijawahi kuwaona.
HakikaSafari hii mashabiki wa Simba wamejitambua Sana kuliko wakati wowote. Kama wameweza kuhoji mpaka hili la Mo Extra 2in1 basi kuna maendeleo.
Naunga mkono hojaFungulia mbwa......napo hatuendi[emoji23][emoji23]
Glazers watoke tuTimu ya Ikulu ile.
Mwasibu OKW BOBAN SUNZU Unaombwa uje utupe maelezo ya kihasibu.Kihasibu hii imekaaje? Ni dalili ya nini?
Tafadhali naomba majibu ya kitaalam kutoka kwa yule Mwasibu wenu wa Kimataifa.
Tangu apigwe [emoji2772] amekua dhoofu! hawezi hata Ku type kituMwasibu OKW BOBAN SUNZU Unaombwa uje utupe maelezo ya kihasibu.
Gari bovu halisukumwi kwa kukaa ndani yakeScars, unaweza kurekebisha Mambo ukiwa ndani. Nenda uwanjani japo ukatoe kauli itakayowafikia viongozi moja Kwa moja.