Simba wasikilize mashabiki bila hivo nendeni uwanjani wenyewe

Kufanya sub 3 kwa mpigo sio akili ya mchezo mana ndio kama unaanza game upya,mzungu was .chongo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui kwann najikuta mda wote nacheka, km sijafungwa vile lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui kwann najikuta mda wote nacheka, km sijafungwa vile lol.
Sasa we si ni mwehu flan amazing ndio maana kukenua kenua tu muda wote
 
Yanga bado ni timu mbovu tuu. Sioni kama kuna kitu kikubwa wanacho kuliko simba
Kama unaongea kishabiki sawa Ila Kama ni kiufundi jitathimini.. nikikuuliza tu forward wenu ni yupi? Hauna jibu mnategemea mawinga. Kumbuka msimu uliopita kilichowagarimu ni forward butu Mugalu hakufunga kabisa bocco ndo vile vile goli 3 sijui 2 Sasa hapo unategemea Nini?
 
Mkuu ki ushabiki tuu
 
Na mtaendelea kuchezea kichapo mpaka akili ziwakae sawa Kama akili zenu ndo hizi mpaka siku mtakapokubali kuwa kwasasa mnazidiwa ubora na yanga kwa mbali Sana, Mtatubu bila kupenda dadadeki!
Sawa mkuu
 
Mkuu peleka pesa ya kumnunua huyo manzoki
 
Lakini Yanga ni wakubwa zenu kwa mambo 3: kwanza Simba na Yanga jana ulikuwa mchezo wao wa 110, Yanga kashinda 39, Simba 32, sare 39. Yanga kamfunga Simba magoli 153, Simba kamfunga Yanga magoli 137. Yanga amechukua ubingwa mara 28, Simba mara 22. Kila eneo Yanga kakuzidi, sasa povu la Nini?
 
kama unaona man city na man united usingekuwa unaandika na kuuliza huu upuuzi
 
Mpira n kitu cha ajabu Sana[emoji16][emoji16]
Wakati Simba inaongoza Kwa bao 1 ilisifiwa ghafla upepo umebadilika baada ya kufungwa,Anyway tumewaachia wajuaji WA mpira waendelee kujudge.Sie yetu [emoji102][emoji851]
 
Naweka kumbukumbu sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…