Simba Wasipojitathimini Kuna Uwezekano Yanga Akachukua Ubingwa Mara Saba Mfululizo Kama Juventus

Simba hawajui mchawi wao kama ni viongozi
Me Huwa Huwa nashangaa
Yaani wachezaji wote waliojaa Africa
Ndo wakawadain Ateba, mkwala, nouma, okajefa, Camara, SGR yule anakimbiza kama hana kichwa
Then utegemee ubingwa
Huna hoja umejaa wivu tuu...
 
Kauli
Kauli kama hizi ndo zinadhihirisha Yanga ana ananunua baadhi ya mechi.

Yaani Afisa Habari professional kabisa anaweza kupost ujinga kama huo kama hajawekwa mfukoni na timu ya Jangwani? Kwasababu kupitia post hiyo unaweza kugundua Singida Black Stars ilikuwa inailenga Simba SC.

Sasa swali la kujiuliza ni lini Simba imewahi kupost kitu kinachofanana na hicho dhidi ya Singida Black Stars? Ama hakika Simba ina maadui wa kujitolea wengi sana.
 
Kama ni kununua na simba si inunue au????
 
Yani mipuuzi ni mingi ni ugonjwa wanaulea wee subiri tuu mwisho wake
Kauli

Kauli kama hizi ndo zinadhihirisha Yanga ana ananunua baadhi ya mechi.

Yaani Afisa Habari professional kabisa anaweza kupost ujinga kama huo kama hajawekwa mfukoni na timu ya Jangwani? Kwasababu kupitia post hiyo unaweza kugundua Singida Black Stars ilikuwa inailenga Simba SC.

Sasa swali la kujiuliza ni lini Simba imewahi kupost kitu kinachofanana na hicho dhidi ya Singida Black Stars? Ama hakika Simba ina maadui wa kujitolea wengi sana.
 
Kauli

Kauli kama hizi ndo zinadhihirisha Yanga ana ananunua baadhi ya mechi.

Yaani Afisa Habari professional kabisa anaweza kupost ujinga kama huo kama hajawekwa mfukoni na timu ya Jangwani? Kwasababu kupitia post hiyo unaweza kugundua Singida Black Stars ilikuwa inailenga Simba SC.

Sasa swali la kujiuliza ni lini Simba imewahi kupost kitu kinachofanana na hicho dhidi ya Singida Black Stars? Ama hakika Simba ina maadui wa kujitolea wengi sana.
Inakera bwana kuambiwa mnauza mech.
Yan wanaume wanakesha mazoezi wana apply proffesionalism halaf wanaingia kupambana uwanjani kwa jasho, halaf mwisho wa siku wajinga wachache mnakuja sema ooohhh mmenunuliwa!!. Sio sawa
 
Uko sahihi sana kaka... simba ni kama wamechanganyikiwa hivi,mtu na akili zake timamu anawasikiliza wazee wale..
 
Back
Top Bottom