Huna hoja umejaa wivu tuu...Simba hawajui mchawi wao kama ni viongozi
Me Huwa Huwa nashangaa
Yaani wachezaji wote waliojaa Africa
Ndo wakawadain Ateba, mkwala, nouma, okajefa, Camara, SGR yule anakimbiza kama hana kichwa
Then utegemee ubingwa
Wapuuzi wakubwa...π π π π
Wamesema ukweli kama vipi kawafungeni nyie π€£π€£π€£Wapuuzi wakubwa...π π π π
Wivu Kwa Simba mgonjwaππHuna hoja umejaa wivu tuu...
Kauli kama hizi ndo zinadhihirisha Yanga ana ananunua baadhi ya mechi.
Kama ni kununua na simba si inunue au????Kauli
Kauli kama hizi ndo zinadhihirisha Yanga ana ananunua baadhi ya mechi.
Yaani Afisa Habari professional kabisa anaweza kupost ujinga kama huo kama hajawekwa mfukoni na timu ya Jangwani? Kwasababu kupitia post hiyo unaweza kugundua Singida Black Stars ilikuwa inailenga Simba SC.
Sasa swali la kujiuliza ni lini Simba imewahi kupost kitu kinachofanana na hicho dhidi ya Singida Black Stars? Ama hakika Simba ina maadui wa kujitolea wengi sana.
Kauli

Wagonjwa ni nyie..wagonjwa wa roho mbaya na chuki binafsi...ππWivu Kwa Simba mgonjwaππ
Futa machozi mrembo wanguWagonjwa ni nyie..wagonjwa wa roho mbaya na chuki binafsi...ππ
Tuna mikono safi sie.Hatuwezi kufanya huo upuuzi.Kama ni kununua na simba si inunue au????
Inakera bwana kuambiwa mnauza mech.Kauli
Kauli kama hizi ndo zinadhihirisha Yanga ana ananunua baadhi ya mechi.
Yaani Afisa Habari professional kabisa anaweza kupost ujinga kama huo kama hajawekwa mfukoni na timu ya Jangwani? Kwasababu kupitia post hiyo unaweza kugundua Singida Black Stars ilikuwa inailenga Simba SC.
Sasa swali la kujiuliza ni lini Simba imewahi kupost kitu kinachofanana na hicho dhidi ya Singida Black Stars? Ama hakika Simba ina maadui wa kujitolea wengi sana.
Tulieni kwanza tupo kileleni......Tuna mikono safi sie.Hatuwezi kufanya huo upuuzi.
Uko sahihi sana kaka... simba ni kama wamechanganyikiwa hivi,mtu na akili zake timamu anawasikiliza wazee wale..Inakera bwana kuambiwa mnauza mech.
Yan wanaume wanakesha mazoezi wana apply proffesionalism halaf wanaingia kupambana uwanjani kwa jasho, halaf mwisho wa siku wajinga wachache mnakuja sema ooohhh mmenunuliwa!!. Sio sawa