Simba wasusia kushiriki Mapinduzi Cup

Mbona simple tu. Si tumekimbia mapinduzi na niny mmekimbia caf kama mntaka kushindana na sisi tukutnae caf competition huku tukiangaliwa na warabu.
Hawana uwezo wa kuja huku kwa wakubwa
 
Huko mnakotaka mmekuwa vibonde siku hizi! Vitimu kama Galaxy na Red Allows vinawavimbia kiasi kile! Tatizo Mikia wanalazimisha ukubwa ambao hawana!
Na tuko wapi mpaka sahv..? Na utopwinyo wako wapi muda huu..?
 
Huko mnakotaka mmekuwa vibonde siku hizi! Vitimu kama Galaxy na Red Allows vinawavimbia kiasi kile! Tatizo Mikia wanalazimisha ukubwa ambao hawana!
Kumbe unatujua kwamba sisi ni magwiji ila ni jeuri zako tu kutaka kujifananisha na sisi
 
Woga wako ndiyo umasikini wako.Wimbo wa Rose muhando,Simba kageuka kawa Panya kwa Paka,sababu zao hazina mashiko si wanadai Wana kikosi kipana leta timu ule kipigo Cha mbwa mwizi kudadeki.Lazima Nyama pori itafunwe na kunywewa supu
Hii sasa mipasho home boy,sema vipi sisi tuna kikosi kipana na wala si madai kama unavyosema.Simba ni simba babu hakuna siku utamkuta kawa panya.
 
Uende ukacheze na KMKM na wewe ujione una mechi za kujiandaa na mashindano makubwa,huwezi kuwa serious
KMKM kambana UTO juzi kati kwenye game ya kirafiki naona wanataka watumie Mapinduzi cup kurejesha heshima yao
 
heee! Yan tunasusa na tff iko kimya s tushushwe daraja huu dio uungwana aisee.
 
Viongozi wengi wa Zanzibar walileta uana young mwingi sana bora tumegomea
 
Imekuwaje tena! Juzijuzi si walipiga kura na kuchagua utopolo fc....yenye kiwango cha mlandege, kmkm, jamhuri, etc.
 
Ningewashangaa sana kama simba wangeshiriki hiyo michuano baada ya kauli ya kifedhuri ya waziri wa zanzibar. Hayo mashindano hayana umuhimu zaidi ya kuingizia pesa waandaji na kutuumizia wachezaji wetu.
Simba na Yanga ni timu za serikali, huyo demu wenu wa kidosi hajui lolote.

Jengo la makao makuu ya Simba na makao makuu ya Yanga amejenga Sheikh Karume.

Hao wapumbavu wanaowajaza ujinga hawajui wamiliki halali wa hizi timu mbili ni nani.
 
Sasa unaumia nini kama Simba hawashiriki mapinduzi,mbona kuna kipindi yanga pia hawakushiriki. Mapinduzi cup siyo lazima mkuu na wala haitabuliwi CAF na FIFA
 
Simba na Yanga ni timu za serikali, huyo demu wenu wa kidosi hajui lolote.

Jengo la makao makuu ya Simba na makao makuu ya Yanga amejenga Sheikh Karume.

Hao wapumbavu wanaowajaza ujinga hawajui wamiliki halali wa hizi timu mbili ni nani.
Kuna kamama kamoja ka zenji kaliikashifu Simba kuwa haina shabiki hata mmoja na ni waziri wa michezo wa zenji unategemea kwa hali hiyo Simba inaweza kupeleka team Mapinduzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…