Simba wasusia kushiriki Mapinduzi Cup

Simba wasusia kushiriki Mapinduzi Cup

Mashindano yenyewe eti unacheza leo na kesho.Mashindano yaliyopita Utopolo waliitoa Azam iliyokuwa imetoka kucheza jana.Ni mashindano ya klabu ambazo hazishiriki mashindano makubwa.
 
Kuna kamama kamoja ka zenji kaliikashifu Simba kuwa haina shabiki hata mmoja na ni waziri wa michezo wa zenji unategemea kwa hali hiyo Simba inaweza kupeleka team Mapinduzi
heri Simba wapunzike waachane tu na mlolongo mwingi wa mambo yasiyo na maana ,kwasababu wamepaniwa sana na fitna kibao,heri watulie tu kwenye ligi ,FA na kimataifa
 
Sasa unaumia nini kama Simba hawashiriki mapinduzi,mbona kuna kipindi yanga pia hawakushiriki. Mapinduzi cup siyo lazima mkuu na wala haitabuliwi CAF na FIFA
Wamiliki wa timu wanaitaka timu yao kwenye mapinduzi Cup na itashiriki, hapo ndio utajuwa kuwa hujui.

Hawa GSM na Metl wamewekwa tu kwenye hizo timu mbili kusherehesha tu.

GSM wamekubaliana na ukweli ila Mo ndio haelewi kwamba hawezi kuimiliki Simba na mchakato wa mabadiriko hautakaa ufike mwisho.

Ukinisoma huku ukiwa na akili timamu ni faida kwako, ila ukiamuwa kuendelea kujijaza ujinga endelea.

Hakuna mwenye uwezo wa kuiondowa Simba isishiriki kombe la mapinduzi, wenye timu yao huwezi kuwapangia hata kama mmeachiwa timu muiendeshe.

Timu ya watu binafsi waarabu ilikuwa Sunderland, wakatimuliwa wote ndio timu ikapewa jina la Kawawa Simba wa Vita na Karume akatowa pesa za kujenga makao makuu Msimbazi na Yanga akawajengea Jangwani.

Mmiliki wa Simba na Yanga ni mmoja.
 
Hivi lini utastuka kutoka kwny iyo ndoto mkuu
 
Kuna kamama kamoja ka zenji kaliikashifu Simba kuwa haina shabiki hata mmoja na ni waziri wa michezo wa zenji unategemea kwa hali hiyo Simba inaweza kupeleka team Mapinduzi
Timu lazima ipelekwe, hiyo timu ni mali ya serikali, kama huna akili timamu ni ngumu kuamini ninachokwambia.

Mo Dewji ana makampuni zaidi ya 100 kinamshinda nini kukamilisha mchakato wa mabadiriko Simba?

Mnachezeshwa ngoma msiyoijuwa tena mnaachwa msumbuane na FCC tu.

Jiulize wahindi kwa kutowa rushwa wanashindwa vipi kuwahonga FCC?
 
Wamiliki wa timu wanaitaka timu yao kwenye mapinduzi Cup na itashiriki, hapo ndio utajuwa kuwa hujui.

Hawa GSM na Metl wamewekwa tu kwenye hizo timu mbili kusherehesha tu.

GSM wamekubaliana na ukweli ila Mo ndio haelewi kwamba hawezi kuimiliki Simba na mchakato wa mabadiriko hautakaa ufike mwisho.

Ukinisoma huku ukiwa na akili timamu ni faida kwako, ila ukiamuwa kuendelea kujijaza ujinga endelea.

Hakuna mwenye uwezo wa kuiondowa Simba isishiriki kombe la mapinduzi, wenye timu yao huwezi kuwapangia hata kama mmeachiwa timu muiendeshe.

Timu ya watu binafsi waarabu ilikuwa Sunderland, wakatimuliwa wote ndio timu ikapewa jina la Kawawa Simba wa Vita na Karume akatowa pesa za kujenga makao makuu Msimbazi na Yanga akawajengea Jangwani.

Mmiliki wa Simba na Yanga ni mmoja.
Utopolo mtupu!!!
 
Nani huyo acha kujifariji
 
Tuambie hao wamiliki.?
 
Timu lazima ipelekwe, hiyo timu ni mali ya serikali, kama huna akili timamu ni ngumu kuamini ninachokwambia.

Mo Dewji ana makampuni zaidi ya 100 kinamshinda nini kukamilisha mchakato wa mabadiriko Simba?

Mnachezeshwa ngoma msiyoijuwa tena mnaachwa msumbuane na FCC tu.

Jiulize wahindi kwa kutowa rushwa wanashindwa vipi kuwahonga FCC?
Hahahahhahahahah mchakato ulisha kamilika upo dunia ipi..? Zile 20B zako...? Zile 49 hisa kapewa nani.?
 
Wamiliki wa timu wanaitaka timu yao kwenye mapinduzi Cup na itashiriki, hapo ndio utajuwa kuwa hujui.

Hawa GSM na Metl wamewekwa tu kwenye hizo timu mbili kusherehesha tu.

GSM wamekubaliana na ukweli ila Mo ndio haelewi kwamba hawezi kuimiliki Simba na mchakato wa mabadiriko hautakaa ufike mwisho.

Ukinisoma huku ukiwa na akili timamu ni faida kwako, ila ukiamuwa kuendelea kujijaza ujinga endelea.

Hakuna mwenye uwezo wa kuiondowa Simba isishiriki kombe la mapinduzi, wenye timu yao huwezi kuwapangia hata kama mmeachiwa timu muiendeshe.

Timu ya watu binafsi waarabu ilikuwa Sunderland, wakatimuliwa wote ndio timu ikapewa jina la Kawawa Simba wa Vita na Karume akatowa pesa za kujenga makao makuu Msimbazi na Yanga akawajengea Jangwani.

Mmiliki wa Simba na Yanga ni mmoja.

Hizi sasa ni porojo
 
Timu lazima ipelekwe, hiyo timu ni mali ya serikali, kama huna akili timamu ni ngumu kuamini ninachokwambia.

Mo Dewji ana makampuni zaidi ya 100 kinamshinda nini kukamilisha mchakato wa mabadiriko Simba?

Mnachezeshwa ngoma msiyoijuwa tena mnaachwa msumbuane na FCC tu.

Jiulize wahindi kwa kutowa rushwa wanashindwa vipi kuwahonga FCC?
We mwenye akili timamu hiyo serikali mbona hatuoni ikizisaidia zinapokuwa na ukame
 
Kupaparika kwa maharage jikoni ndio kuiva kwake,ni suala LA muda tu ila Simba kwa sasa hana chake meza ilishapinduliwa kitambo .
Kitendo cha Mo kujitoa uenyekiti wa bodi ya wakurugenzi alishanusa harufu inayohatarisha uwepo wake.
GSM kwa sasa hashikiki milango ya kusonga mbele imeshafunguka hakuna cha kumzuia tena kwenda anakotaka kwenda.
Mkuu unajua kua mdhamini wa klabu yenye mchakato wa kua kampuni haruhusiwi kua mwenyekiti wa hiyo kampuni kwa mujibu wa sheria?
 
GSM soon anaenda kwenye udhamini Shirikisho la soka Afrika kwa Taarifa tu wako kwenye majadiliano jiandaeni kukimbia na huko.Kikosi kipana kwa nadharia hovyo kabisa nyie mtamkimbia Yanga mpaka lini .Hahahahaaaaa Simba kawa paka hatari
Jumamosi hawa mbwa wenye mawazo kama mwenzao huyu wajiandae kisaikolojia maana tayari mna matokeo mfukoni
 
Simba na Yanga ni timu za serikali, huyo demu wenu wa kidosi hajui lolote.

Jengo la makao makuu ya Simba na makao makuu ya Yanga amejenga Sheikh Karume.

Hao wapumbavu wanaowajaza ujinga hawajui wamiliki halali wa hizi timu mbili ni nani.
Labda yanga ni timu ya serikali ila simba ni ya wanachama pamoja na mwekezaji ulipaswa kukaa kimya kuficha upumbavu wako
 
Hapy Birthday Tanganyika.

Simba Mmejitoa kushiriki Mashindano ya Mapinduzi Kisa maandalizi ya Caf Champion League

Sasa Kimbieni Tu, bdo kuwa Co Sponsor wa Caf na Pia Kuwa Co. Sponsor Wa Kombe La Azam Cup Federation.

Sasa Sjui mtasema mmetingwa na Nini [emoji23][emoji23]

Unasuusa Suuuusaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2037869
Nendeni nyie nyani wa pori la Utopolo kushindania lile birika la kuvutia shisha

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hapy Birthday Tanganyika.

Simba Mmejitoa kushiriki Mashindano ya Mapinduzi Kisa maandalizi ya Caf Champion League

Sasa Kimbieni Tu, bdo kuwa Co Sponsor wa Caf na Pia Kuwa Co. Sponsor Wa Kombe La Azam Cup Federation.

Sasa Sjui mtasema mmetingwa na Nini [emoji23][emoji23]

Unasuusa Suuuusaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2037869
Na wakishiriki tuwafanyeje?
 
Back
Top Bottom