Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Kama wananyanyasika si waende kwa GSM? [emoji23][emoji23]Mwambieni Mo nae aweke hela,huyo tajiri wenu wa kwenye makaratasi .Raha ya utajiri tumia pesa tuone,huyo tajiri kanjanja,wewe uliona wapi tajiri anashinda mitandaoni kujibishana na watu mda huo anatoa.Nenda kaangalia wafanyakazi kwenye kampuni zake wanavyonyanyasika malipo duni na unyanyasaji mwingi si unajua wahindi walivyo.Watu wanafanyakazi kwa sababu ya shida na umasikini tu lakini wananung'unika balaaaa.Huyo muhindi hovyo kabisaaa Hana huruma hata kidogo
Umekamilika lini huo mchakato? Acha uongo wewe,wapi Mo kakabidhiwa certificate ya uwekezaji wa hizo hisa Simba,ni ngumu kwa huyo Tapeli kupewa timu kirahisi lazima taratibu na michakato yote ya kiuwekezaji ikamilike na Taarifa rasmi itatolewa kwenye magazeti na mtandao wa klabu.Hahahahhahahahah mchakato ulisha kamilika upo dunia ipi..? Zile 20B zako...? Zile 49 hisa kapewa nani.?
Peleka timu acha uwoga wewe si unadai una kikosi kipanaWacheze wachukue makombe ya kidwanzi
Simba wameamua hawachezi mapinduzi Ila we ndo unayeumiaPeleka timu acha uwoga wewe si unadai una kikosi kipana
kwani wewe unatakaje. Sasa sisi kutoshiriki nyie inawahusu nini.Kuna tofauti ya kutoshiriki na kususa,kinachohojiwa ni kususa sio kutoshiriki.
Kwani Kagame mlishiriki?kuna MTU yeyote aliehoji?watu wanahoji sasa sababu kususa kwenu ni kwa kijinga na wivu wa kike hakuna point.
Labda kwa vile ceo wenu ni wakike ndio mana mnaendeshwa kike kike tu sasa
Inakuhusu nini wee binti. Yaani mabinti wengine sijui mkoje. Kazi kuhangaika na ya nyumbani kwa watu.Umekamilika lini huo mchakato? Acha uongo wewe,wapi Mo kakabidhiwa certificate ya uwekezaji wa hizo hisa Simba,ni ngumu kwa huyo Tapeli kupewa timu kirahisi lazima taratibu na michakato yote ya kiuwekezaji ikamilike na Taarifa rasmi itatolewa kwenye magazeti na mtandao wa klabu.
Uzuri ni kwamba simba kama timu hatupangiwi cha kufanya tunaamua wenyeweHapy Birthday Tanganyika.
Simba Mmejitoa kushiriki Mashindano ya Mapinduzi Kisa maandalizi ya Caf Champion League
Sasa Kimbieni Tu, bdo kuwa Co Sponsor wa Caf na Pia Kuwa Co. Sponsor Wa Kombe La Azam Cup Federation.
Sasa Sjui mtasema mmetingwa na Nini [emoji23][emoji23]
Unasuusa Suuuusaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2037869
Kipindi cha mafanikio yao simba walizionea sana timu nyingine nje ya uwanja ndiyo maana leo kila kuficha wanalia kuhujumiwa.wanahujumiwa na nani?Hata kagame cup simba waliigomea kwa kisingizio cha kuwahi pre season morroco..
Wrong strategies kabisa.
kwanini wasishiriki michuano hii kwa kutumia sehemu ya kikosi kilichopata nafasi ya kucheza muda mwingi?
Sasa naanza kushawishika na wasemao; Simba ina kikosi kipana kwa nadharia.
Kuna wachezaji wapo simba hapo hawapati nafasi ya kucheza, akiwemo yusuf mhilu.
Jukwaa lao lilikuwa ni hili..yule dogo kiberenge Rashid Juma ni zao la michuano hii.
Timu za ushindani zinatakiwa angalau zicheze mechi 50 per season..
Hapy Birthday Tanganyika.
Simba Mmejitoa kushiriki Mashindano ya Mapinduzi Kisa maandalizi ya Caf Champion League
Sasa Kimbieni Tu, bdo kuwa Co Sponsor wa Caf na Pia Kuwa Co. Sponsor Wa Kombe La Azam Cup Federation.
Sasa Sjui mtasema mmetingwa na Nini [emoji23][emoji23]
Unasuusa Suuuusaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2037869