Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Feb 12, 2022 #41 Its Pancho said: Mods futa hii takataka hapa Click to expand... Wafute kwa nini
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Feb 12, 2022 #42 Mpaka yule mwamuzi wenu wa mchongo Ahmada Simba, na yule line 2 warudishwe tena kuchezesha, tayari gap litakuwa limeongezeka vya kutosha tu. 😁😁 Na mwisho wa msimu Wananchi tunanyayua makwapa, kama tulivyofanya kwenye Ngao ya Jamii.
Mpaka yule mwamuzi wenu wa mchongo Ahmada Simba, na yule line 2 warudishwe tena kuchezesha, tayari gap litakuwa limeongezeka vya kutosha tu. 😁😁 Na mwisho wa msimu Wananchi tunanyayua makwapa, kama tulivyofanya kwenye Ngao ya Jamii.