Simba watachukua ubingwa wa NBC kwa 7-10

Simba watachukua ubingwa wa NBC kwa 7-10

Mpaka yule mwamuzi wenu wa mchongo Ahmada Simba, na yule line 2 warudishwe tena kuchezesha, tayari gap litakuwa limeongezeka vya kutosha tu. 😁😁

Na mwisho wa msimu Wananchi tunanyayua makwapa, kama tulivyofanya kwenye Ngao ya Jamii.
 
Back
Top Bottom