mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
ole wenu mje kuuliza hizo bilioni 1.2.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
as kigali ya rwanda wapo na kina namungoSimba na Namungo ndizo timu pekee zinazowakilisha timu nyingine za Afrika Mashariki.
Simba ishaingia Makundi tunaiombea Namungo nayo iingie makundi.
Wengine nao tunawaombea waingie makundi katika Mapinduzi Cup.
Kwa moyo mweupe kabisa.
sasa itakuwaje karibu teams zote zinavaa nyekundu mtanunua jezi zao?mnaofanana nao hapo ni kazier chiefs na as vita tuMashabiki wa simba wana mdomo Kama mwanamke wa kazaramo ni hivi waarabu wengi wamefuzu mwisho wao tushauona
Raja katolewa na timu ya Senegal ila uwanja ndio umewaumiza ulijaa maji mpira auendi mda wa penati ukipga mpira una kwama kwenye maji aisee
Mnaona wana mdomo coz wana kitu cha kuzungumzia, ushindi na mafanikio.... sasa tuambie nyinyi mtaongea juu ya nini??? Kwa iyo lazma mnyamaze.....Mashabiki wa simba wana mdomo Kama mwanamke wa kazaramo ni hivi waarabu wengi wamefuzu mwisho wao tushauona
Ule c ulikuwa uwanja wa Raja CasablancaRaja katolewa na timu ya Senegal ila uwanja ndio umewaumiza ulijaa maji mpira auendi mda wa penati ukipga mpira una kwama kwenye maji aisee
Ndio uwanja wao kama ingekua nchi nyingne sio kwao waarabu wasnge kubali wale jamaa sema walijiamni mwarabu nyumbani kwake mwisho ukawa mbaya kwao
mzigo wa sports pesa si ndo karibu wote jana wamekula wachezaji maana ligi sijui ni milioni 100,sports pesa milioni 100 ukichukua ubingwa na hiyo group stages sijui ni ngapi tena..ila jana na jua majamaa hawajakosa atleast milioni 7 kila mmoja maana 250 millions kwa team siyo habaBado mzigo wa sportpesa ingawa ni kidogo si haba
Kelele zitaisha tu subiri ukutane na Yanga ule kipigo Cha Mbwa kokoMnaona wana mdomo coz wana kitu cha kuzungumzia, ushindi na mafanikio.... sasa tuambie nyinyi mtaongea juu ya nini??? Kwa iyo lazma mnyamaze.....
Simba itakua ktk headlines hadi itakapochoka mafanikio kwa hiyo kaa chini relax maana utateseka tu.
Hela na Mwarabu hizo kwani yeye na CEO mrembo ndiyo kila kitu wanagharamia timu kila kitu hivyo hizo Ni hela zao kurudisha gharama zao za kuihudumia na kuigharamia timuKwa mjibu wa caf timu zitakazoingia makundi yaani 16 bora watapata pesa za kitanzania bilioni moja na milioni mia mbiliView attachment 1670534
Shinden mech apo zanziba tukutane... msikimbieKelele zitaisha tu subiri ukutane na Yanga ule kipigo Cha Mbwa koko
Sio kweli, AS Kigali wapo na Namungo, pia Gor Mahia wameangukia hukoSimba na Namungo ndizo timu pekee zinazowakilisha timu nyingine za Afrika Mashariki.
Simba ishaingia Makundi tunaiombea Namungo nayo iingie makundi.
Wengine nao tunawaombea waingie makundi katika Mapinduzi Cup.
Kwa moyo mweupe kabisa.
Sawa mkuu.Sio kweli, AS Kigali wapo na Namungo, pia Gor Mahia wameangukia huko