Simba watajinyakulia 1.2 bilioni

Simba na Namungo ndizo timu pekee zinazowakilisha timu nyingine za Afrika Mashariki.
Simba ishaingia Makundi tunaiombea Namungo nayo iingie makundi.
Wengine nao tunawaombea waingie makundi katika Mapinduzi Cup.
Kwa moyo mweupe kabisa.
as kigali ya rwanda wapo na kina namungo
 
Mashabiki wa simba wana mdomo Kama mwanamke wa kazaramo ni hivi waarabu wengi wamefuzu mwisho wao tushauona
Mnaona wana mdomo coz wana kitu cha kuzungumzia, ushindi na mafanikio.... sasa tuambie nyinyi mtaongea juu ya nini??? Kwa iyo lazma mnyamaze.....

Simba itakua ktk headlines hadi itakapochoka mafanikio kwa hiyo kaa chini relax maana utateseka tu.
 
Bado mzigo wa sportpesa ingawa ni kidogo si haba
mzigo wa sports pesa si ndo karibu wote jana wamekula wachezaji maana ligi sijui ni milioni 100,sports pesa milioni 100 ukichukua ubingwa na hiyo group stages sijui ni ngapi tena..ila jana na jua majamaa hawajakosa atleast milioni 7 kila mmoja maana 250 millions kwa team siyo haba
 
Mnaona wana mdomo coz wana kitu cha kuzungumzia, ushindi na mafanikio.... sasa tuambie nyinyi mtaongea juu ya nini??? Kwa iyo lazma mnyamaze.....

Simba itakua ktk headlines hadi itakapochoka mafanikio kwa hiyo kaa chini relax maana utateseka tu.
Kelele zitaisha tu subiri ukutane na Yanga ule kipigo Cha Mbwa koko
 
Kwa mjibu wa caf timu zitakazoingia makundi yaani 16 bora watapata pesa za kitanzania bilioni moja na milioni mia mbiliView attachment 1670534
Hela na Mwarabu hizo kwani yeye na CEO mrembo ndiyo kila kitu wanagharamia timu kila kitu hivyo hizo Ni hela zao kurudisha gharama zao za kuihudumia na kuigharamia timu
 
Simba na Namungo ndizo timu pekee zinazowakilisha timu nyingine za Afrika Mashariki.
Simba ishaingia Makundi tunaiombea Namungo nayo iingie makundi.
Wengine nao tunawaombea waingie makundi katika Mapinduzi Cup.
Kwa moyo mweupe kabisa.
Sio kweli, AS Kigali wapo na Namungo, pia Gor Mahia wameangukia huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…