Simba watalia ligi ikianza

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Mmesikia ya Okwa, vipi mpaka sasa wamesajili mchezaji gani zaidi ya tetesi, wamekuja na kitambulisho cha Gsm.

Hawa watu hawapo serious kabisa rahisi sana kuwaongoza kwenye magrupu yao zimejaa habari za Yanga bila habari za Yanga grupu zipo kimya sana

Leo okwa anasema kocha alikua anapangiwa kikosi lengo ni moja kila kiongozi ana mchezaji wake pale auzike akunje mtonyo kiongozi aliyemleta sawadogo ana nguvu sana pale thimba

Hakika bado hamjakaa sawa sisikii shabiki yeyote akiuliza kuhusu jezi zinatoka lini wakati mipango yote ya yanga ipo wazi.

Endeeeleni
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa lipi mangi wakati hata kombe la uwizi hamna
Kwani nyie ndo wa kwanza kupata makombe mara mbili mfululizo? Kumbuka hapo nyuma mlikua mnapenga tu kamasi miaka 4 mfululizo...hakuna jipya..
 
Wote kule Punguani yaani mazuzu aka Hamnazo........ isipokuwa wawili..! Manara anajua kuwananga watu.

N walivyo punguani kweli wanamchekea chekea.!
 
Kwani dirisha la usajili limefungwa? Hebu tumia akili basi japo kidogo. By the way hata wakilia wewe utopwenga unaumia nini?
 
Umeandika mambo mengi utadhani ligi inaanza kesho
 
Last time nilisikia wanaleta mchezaji ambae anaweza kutawanya maji ya bahari leo tena nimesikia wanaleta mchezaji ambae akidondoshwa mbuga ya wanyama, wanyama wote kuanzia tembo, nyati, simba nk watakimbia. Nikasema dah hawa watu ndo maana Rage aliwadhihaki, si msimu uliopita walisajili wachezaji dirisha kubwa wasioweza kupata namba 1st eleven yao!
 
Simba , safu ya uongozi haijajipanga.
Hawasomi alama za nyakati....

Eneo la ufundi na marketing linahitaji watu wabunifu haswa...

Eneo la publicity linahitaji kuongezewa nguvu...
Ahmed Ally pekee haviwezi vita vya jirani
 
Simba , safu ya uongozi haijajipanga.
Hawasomi alama za nyakati....

Eneo la ufundi na marketing linahitaji watu wabunifu haswa...

Eneo la publicity linahitaji kuongezewa nguvu...
Ahmed Ally pekee haviwezi vita vya jirani
Vita gani ambavyo Ahmed anapigana dhidi ya mpinzani mkuu wa Simba ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…