bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Mmesikia ya Okwa, vipi mpaka sasa wamesajili mchezaji gani zaidi ya tetesi, wamekuja na kitambulisho cha Gsm.
Hawa watu hawapo serious kabisa rahisi sana kuwaongoza kwenye magrupu yao zimejaa habari za Yanga bila habari za Yanga grupu zipo kimya sana
Leo okwa anasema kocha alikua anapangiwa kikosi lengo ni moja kila kiongozi ana mchezaji wake pale auzike akunje mtonyo kiongozi aliyemleta sawadogo ana nguvu sana pale thimba
Hakika bado hamjakaa sawa sisikii shabiki yeyote akiuliza kuhusu jezi zinatoka lini wakati mipango yote ya yanga ipo wazi.
Endeeeleni